WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW KIZIMBANI
![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5C9kkJ-A0SxnFe2uFQpjewE8hjWzHaR37qKTF5LN3B6P6d7rGuTyXvSjLORc9P2KUP8GsfwSbeCsgRY3r*3An*U/breakingnews.gif)
WATUHUMIWA watatu wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow wasomewa mashitaka leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa hao ni pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa benki ya Mkombozi, Julius Ruta, Ofisa Mwandamizi wa Tanesco, Steve Urasa na Leonard Lutabingwa wa TRA anayeshitakiwa kwa makosa manne.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Feb
Mtuhumiwa sakata la Escrow kizimbani leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo inatarajia kumsomea maelezo ya awali Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
StarTV17 Jan
Sakata la ESCROW, watatu wafikishwa mahakamani.
Na Josephine Mwaiswaga
Dar Es Salaam
Lile Sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow limezidi kuwaburuza wengine zaidi Mahakamani ambapo sasa Tume ya kudhibiti na kupambana na Rushwa TAKUKURU imewapandisha Kizimbani Watu Watatu Wakikabiliwa na makosa ya sita ya kupokea rushwa kutoka kwa Mkurugenzi wa zamani wa kampuni ya Independent Power Tanzania Ltd IPTL James Rugemalira.
Washtakiwa waliopandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ni pamoja na Julius Angello Mkurugenzi wa Fedha...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dK2Dr4I9KsU/VJrTZzANF6I/AAAAAAAAOo8/gu_-Mx4-NRo/s72-c/DSC_4297.jpg)
UKAWA WACHARUKA, WASEMA HATUA ZA JK DHIDI YA WATUHUMIWA SAKATA LA ESCROW HAZITOSHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-dK2Dr4I9KsU/VJrTZzANF6I/AAAAAAAAOo8/gu_-Mx4-NRo/s640/DSC_4297.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-DXmDe47d_XM/XqLa9O-sjKI/AAAAAAALoDQ/oQZzqU6hEk0Z6c89lfER-lrWsC351SHHwCLcBGAsYHQ/s72-c/0f9044bf-f641-4cb0-a698-3d401ff65aea.jpg)
Watuhumiwa watatu akiwemo raia wa Nigeria wa Dawa za kulevya wapadishwa kizimbani kisutu leo
Mbali na Chukwu washtakiwa wengine ni Isso Lupembe 49 mkazi wa Mbezi Luis na Allistair Mbele 38 anayeishi Mbezi Kibanda cha Mkaa.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na mawakili wa serikali waandamizi , Veronika Matikila, na...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Sakata la Escrow vigogo watatu wafikishwa Kisutu
10 years ago
GPLMZIMU WA ESCROW WAWAFIKISHA WATATU KIZIMBANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTuNflLd7ey1wg9q7b3vCwCNwnz22*B3REmLQOPywuHRDFLoE3RclfwN7NA1F5*VM3NaBNhAumZebWbupUuQY0DN/Escrow123.jpg?width=650)
WASHTAKIWA WAWILI WA SAKATA LA AKAUNTI YA ESCROW WAPANDISHWA KIZIMBANI
10 years ago
GPLBUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA WABUNGE KUPINGA BAADHI YA MAAZIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW
10 years ago
Vijimambo29 Nov
HAYA NDIO BAADHI YA MAAZIMIO YALIYOSABABISHA BUNGE KUAHIRISHWA KWA KUPINGA BAADHI YA MAADHIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW
MAAZIMIO
Pendekezo la kwanza la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwezekani
Pendekezo la pili kuhusu Rugemalira, serikali imeweka marekebisho kuhusu uhalali wa pesa za Rugemalira alizogawa
Azimio la TATU limerekebishwa kuwa waliopokea pesa wachunguzwe na kuchukuliwa hatua mahususi kwa mujibu wa sheria
Pendekezo la NNE. Kamati inazitaka mamlaka kuzitangaza benki za Mkombozi na Stanbic kama asasi za utakatishaji fedha
Azimio la 4...