MZIMU WA ESCROW WAWAFIKISHA WATATU KIZIMBANI
Baadhi ya watuhumiwa wa Escrow wakipandishwa mahakamani. MZIMU wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow, limeendelea kuwatafuna watuhumiwa wa uchotwaji wa mabilioni ya fedha za akaunti hiyo baada ya watuhumiwa wengine watatu kupandishwa mchana huu kizimbani katika mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam. Waliopandishwa ni Meneja wa Misamaha ya Kodi wa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5C9kkJ-A0SxnFe2uFQpjewE8hjWzHaR37qKTF5LN3B6P6d7rGuTyXvSjLORc9P2KUP8GsfwSbeCsgRY3r*3An*U/breakingnews.gif)
WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW KIZIMBANI
11 years ago
Habarileo05 Jul
Wizi wa mali za mil 31.7/-wawafikisha kizimbani
WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa mali mbalimbali zenye thamani ya Sh. milioni 31.7.
11 years ago
Habarileo22 Jul
Wafanyakazi watatu wa NMB kizimbani
WATU watatu akiwemo mfanyakazi wa Benki ya NMB, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka 13 ya kuiibia benki hiyo zaidi ya Sh bilioni moja na kutakatisha fedha.
9 years ago
Habarileo20 Aug
Vigogo watatu wizara ya afya kizimbani
MAOFISA Utumishi watatu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh milioni 3.7.
10 years ago
Habarileo15 Jan
Escrow yaburuza wawili kizimbani
WATUMISHI wawili waandamizi wa Serikali wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kupokea zaidi ya Sh milioni 485 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Vigogo kizimbani mgawo Escrow
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
SAKATA la uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, limeanza kuchukua sura mpya baada ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuwafikisha mahakamani vigogo wawili wa Serikali.
Vigogo hao, waliofikishwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana, ni Mhandisi Mkuu wa Mradi wa Umeme Vijijini (REA), Theophillo Bwakea na Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Men6UZNCvSI/U4SeKzJZBvI/AAAAAAAFlew/EP-nRTmOyZY/s72-c/mhando1.jpg)
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TANESCO WILLIAM MHANDO, MKEWE NA WENZAO WATATU KIZIMBANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-Men6UZNCvSI/U4SeKzJZBvI/AAAAAAAFlew/EP-nRTmOyZY/s1600/mhando1.jpg)
Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Mahakamani
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu. Kadhalika, Mhando anakabiliwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa kuipa zabuni Kampuni ya Santa Clara Supplies Ltd, huku akijua ana...
10 years ago
Habarileo10 Feb
Mtuhumiwa sakata la Escrow kizimbani leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo inatarajia kumsomea maelezo ya awali Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
Mtanzania01 Dec
Escrow yazamisha watatu urais 2015
![Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/Zitto-team.jpg)
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)
Na Mwandisi Wetu
KASHFA ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, imewachafua viongozi watatu ambao walishaanza harakati za kuusaka urais kwa mwaka 2015.
Baadhi ya viongozi hao ni pamoja na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka.
Kwa upande wa Pinda, ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali...