Escrow yazamisha watatu urais 2015
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)
Na Mwandisi Wetu
KASHFA ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, imewachafua viongozi watatu ambao walishaanza harakati za kuusaka urais kwa mwaka 2015.
Baadhi ya viongozi hao ni pamoja na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka.
Kwa upande wa Pinda, ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV17 Jan
Sakata la ESCROW, watatu wafikishwa mahakamani.
Na Josephine Mwaiswaga
Dar Es Salaam
Lile Sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow limezidi kuwaburuza wengine zaidi Mahakamani ambapo sasa Tume ya kudhibiti na kupambana na Rushwa TAKUKURU imewapandisha Kizimbani Watu Watatu Wakikabiliwa na makosa ya sita ya kupokea rushwa kutoka kwa Mkurugenzi wa zamani wa kampuni ya Independent Power Tanzania Ltd IPTL James Rugemalira.
Washtakiwa waliopandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ni pamoja na Julius Angello Mkurugenzi wa Fedha...
10 years ago
GPLMZIMU WA ESCROW WAWAFIKISHA WATATU KIZIMBANI
10 years ago
GPL
WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW KIZIMBANI
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Sakata la Escrow vigogo watatu wafikishwa Kisutu
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Habarileo02 Aug
Watatu wachukua fomu za urais NEC
WAGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka vyama vitatu vya siasa nchini, wamechukua fomu za kuwania nafasi hiyo, huku wakikirushia Chama Cha Mapinduzi (CCM) tuhuma kutokana na changamoto mbalimbali za nchi. Wagombea hao walichukua fomu hizo kutoka Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam jana.
10 years ago
Mtanzania08 Jun
Watatu zaidi wachukua fomu za urais CCM
NA DEBORA SANJA, DODOMA
MBIO za urais zinaendelea kupamba moto baada ya makada wa CCM wanaochukua fomu kuwania kuteuliwa kugombea nafasi hiyo kupitia chama hicho kufikia 18.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ndiye alikuwa wa 16 kuchukua fomu hizo jana akifuatiwa na makada wengine wa chama hicho, Peter Nyalali na Leonce Mulenda
Nyalandu alifika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, akiwa ameambatana na mkewe Faraja Nyalandu na watoto wao wawili.
Akijibu swali kuhusu jinsi gani...
10 years ago
Vijimambo
Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015

Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mafuriko yazamisha nyumba 7,000
WAKAZI 7,000 wa kata tatu, Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana makazi baada ya nyumba zao zinazokadiriwa kufikia 2,500 kumezwa na maji kutokana na mafuriko huku nyingine zikisombwa na...