Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizi wa mali za mil 31.7/-wawafikisha kizimbani

WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa mali mbalimbali zenye thamani ya Sh. milioni 31.7.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MZIMU WA ESCROW WAWAFIKISHA WATATU KIZIMBANI

Baadhi ya watuhumiwa wa Escrow wakipandishwa mahakamani. MZIMU wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow, limeendelea kuwatafuna watuhumiwa  wa uchotwaji wa  mabilioni ya fedha za akaunti hiyo baada ya watuhumiwa wengine watatu kupandishwa mchana huu kizimbani katika mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam. Waliopandishwa  ni Meneja  wa Misamaha ya Kodi  wa… ...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi kizimbani wizi wa mtoto

WATU wawili akiwemo askari Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, wakituhumiwa kuiba mtoto. Mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo konstebo wa Polisi WP 5367 Prisca Isaya (35) mkazi wa Ilala Dar es Salaam na mkazi wa Njisi wilayani Kyela mkoani hapa Salehe Mwangosi (28).

 

11 years ago

Michuzi

SABA KIZIMBANI KWA WIZI KATIKA BENKI YA BARCLAYS

WATU saba wakiwemo wafanyakazi wawili wanawake wa benki ya  Barclays wamepandishwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kula njama na unyang'anyi wa kutumia silaha pamoja na wiza wa sh milioni 390.2 , dola za kimarekani 55,000 na Euro 2150.
Washtakiwa hao ni Alune Kasililika (38), Neema Batchu (26) wafanyakazi wa benk hiyo, Kakame Julius (38), Iddy Khamis (32), Sezary Msolopa (31), Boniphace Muumba (29) na Ruth Macha (30) wafanyabiashara.
Wakisomewa mashitaka yao mbele ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kortini kwa wizi wa mil 37.5/-

PinguMFANYABIASHARA Ally Salehe (37) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi akiwa mtumishi.

 

11 years ago

Habarileo

Kizimbani akidaiwa kuiba Sh mil 19.6/-

MKAZI wa Igoma, Mwanza, Leticia Moses (36) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 19.6.

 

11 years ago

Habarileo

Mameneja Barclays kortini wizi wa mil.479/-

WATU saba wakiwemo mameneja wawili wa Benki ya Barclays, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479 katika benki hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

MTUMISHI WA BENKI YA BOA KIZIMBANI AKIKABILIWA NA MASHTAKA SABA YA WIZI, UTAKATISHAJI FEDHA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV MTUMISHI benki ya Boa, Nahami Mwaipyana, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka saba ya wizi akiwa Mtumishi na shtaka moja la utakatishaji wa fedha wa zaidi ya USD 35 elfu na Tsh. Milioni mbili.
Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali Mwandamizi Anna Chimpaye amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kuwa mshtakiwa ametenda makosa ya wizi akiwa mtumishi katika tarehe tofauti tofauti kuanzia Januari 2017 hadi Novemba...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi 14 nguvuni kwa kuiba mali ya Sh900 mil

Polisi mkoani Ruvuma, wameingia katika kashfa, baada ya askari wake kutuhumiwa kuiba vitu vyenye thamani ya zaidi ya Sh900 milioni waliyokuwa wakivilinda. Vitu hivyo ni mali ya mkandarasi aliyefukuzwa katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Namtumbo hadi Tunduru.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMHUKUMU MENEJA WA UKODI KWENDA JELA MIAKA MITANO KWA NJAMA ZA WIZI WA MIL.45.2

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoa wa Pwani, imemuhukumu aliyekuwa meneja wa kituo cha kuuza mafuta cha UKODI INTERNATIONAL COM LIMITED, Malima Charles miaka 40 mkazi wa Maili moja Kibaha, kwenda jela miaka mitano baada ya kumkuta na hatia katika makosa mawili yaliyokuwa yakimkabili ikiwemo kuvunja ofisi na wizi.
Akisoma hukumu hiyo iliyodumu kwa muda wa saa moja ambayo ilivuta hisia za wakazi wa Kibaha, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Joyce Mushi, alieleza ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani