Polisi kizimbani wizi wa mtoto
WATU wawili akiwemo askari Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, wakituhumiwa kuiba mtoto. Mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo konstebo wa Polisi WP 5367 Prisca Isaya (35) mkazi wa Ilala Dar es Salaam na mkazi wa Njisi wilayani Kyela mkoani hapa Salehe Mwangosi (28).
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Jul
Wizi wa mali za mil 31.7/-wawafikisha kizimbani
WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa mali mbalimbali zenye thamani ya Sh. milioni 31.7.
11 years ago
Michuzi.jpg)
SABA KIZIMBANI KWA WIZI KATIKA BENKI YA BARCLAYS
.jpg)
Washtakiwa hao ni Alune Kasililika (38), Neema Batchu (26) wafanyakazi wa benk hiyo, Kakame Julius (38), Iddy Khamis (32), Sezary Msolopa (31), Boniphace Muumba (29) na Ruth Macha (30) wafanyabiashara.
Wakisomewa mashitaka yao mbele ya...
5 years ago
Michuzi
MTUMISHI WA BENKI YA BOA KIZIMBANI AKIKABILIWA NA MASHTAKA SABA YA WIZI, UTAKATISHAJI FEDHA


Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali Mwandamizi Anna Chimpaye amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kuwa mshtakiwa ametenda makosa ya wizi akiwa mtumishi katika tarehe tofauti tofauti kuanzia Januari 2017 hadi Novemba...
5 years ago
Michuzi
WATU WANNE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MABILIONI YA FEDHA YA BENKI YA NBC, POLISI TISA NAO MBARONI
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Sh.1.280,000,000, Dola za Marekani 402,000 na Euro 27,700 huku pia likiwashikilia askari wa polisi tisa kwa tuhuma za kuchukua sehemu ya fedha hizo kutoka kwa mmoja ya watuhumiwa.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja...
11 years ago
Michuzi14 May
10 years ago
GPL
HAUSIGELI ASAKWA WIZI WA MTOTO
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Amjeruhi mtoto kwa wizi wa paka
11 years ago
Habarileo16 Aug
Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto
MKAZI wa Kinondoni Msisiri jijini Dar es Salaam, Ally Mzaki (27) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kujibu mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka mitano.
11 years ago
Habarileo27 May
Baba, walezi mtoto wa Morogoro kizimbani
BABA mzazi pamoja na walezi wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa takribani miaka mitatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Morogoro na kusomewa mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto huyo.