Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba, walezi mtoto wa Morogoro kizimbani

BABA mzazi pamoja na walezi wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa takribani miaka mitatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Morogoro na kusomewa mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto huyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WATUHUMIWA WA MTOTO ALIYEKUFA KUTOKA KWENYE BOX KIZIMBANI MOROGORO

Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Hayati Nasra Rashid,  ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro. Watuhumiwa watatu akiwemo baba yake mzazi wa Nasra, Rashid Mvungi, mama mkubwa wa Nasra, Mariam Saidi na Mume wa mama Mariam Said walifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro kujibu tuhuma za mashtaka ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai wake.  Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa staili ya...

 

9 years ago

Bongo5

Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!

Guys kuna mambo mengi sana feki yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii. Tena zaidi ni kuwa mengi yanakuja na picha zinazoashiria ukweli lakini katika maisha ya chuki na visasi, kila kitu kinawezekana. Mtoto wa Diamond, Tiffah Bahati mbaya tunaishi kwenye dunia ambayo watu huamini haraka mambo hasi ambayo kwa kawaida husambaa haraka zaidi kuliko yale chanya. […]

 

10 years ago

Habarileo

Baba, mwana kizimbani kwa kosa la unyang’anyi

WATU wanne akiwamo baba mzazi na mwanawe wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa kwa makosa ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

10 years ago

Habarileo

Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto

MKAZI wa Kinondoni Msisiri jijini Dar es Salaam, Ally Mzaki (27) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kujibu mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka mitano.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi kizimbani wizi wa mtoto

WATU wawili akiwemo askari Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, wakituhumiwa kuiba mtoto. Mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo konstebo wa Polisi WP 5367 Prisca Isaya (35) mkazi wa Ilala Dar es Salaam na mkazi wa Njisi wilayani Kyela mkoani hapa Salehe Mwangosi (28).

 

10 years ago

Mtanzania

Baba wa Babu Tale azikwa Mkuyuni Morogoro

TaleNA THERESIA GASPER
BABA mzazi wa Meneja wa Abdul Nassib ‘Diamond’, Babu Tale, amezikwa jana kijijini kwao Mkuyuni, mjini Morogoro.
Baada ya mazishi hayo, baadhi ya wasindikizaji walirejea jijini Dar es Salaam kuendelea na shughuli zao na mipango mingine ya kumaliza msiba.
Msanii wa kundi hilo, Madee, alisema baada ya mazishi wote watarejea jijini Dar es Salaam, ambapo itasomwa dua ya kuhitimisha msiba huo nyumbani kwa Babu Tale, Magomeni Kagera.
“Tupo njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa Rais Kizimbani kwa ufisadi

Kesi ya ufisadi dhidi ya Karim Wade, mtoto wa rais wa zamani wa Senegal Abdoulaye Wade imeanza kusikilizwa huko Dakar Senegal.

 

10 years ago

Bongo5

Kitale afiwa na baba yake, atazikwa leo Kilosa, Morogoro

Msanii wa vichekesho, Kitale jana amefiwa na baba yake mzazi na mazishi yatafanyika leo Kilosa mkoani Morogoro. Kitale Mussa Akizungumza na Bongo5 leo, Kitale amesema kuwa baba yake amepatwa na umauti jana baada ya kuugua kwa muda mrefu. “Tunashuru Mungu leo saa 7 mchana tunazika pale Kilosa, baba alikuwa anaumwa kwa muda mrefu,” alisema Kitale.

 

10 years ago

GPL

A-Z MTOTO ALIVYONYONGWA MOROGORO

Na Dustan Shekidele, Morogoro
SIKU tatu baada ya mazishi ya mtoto Edyline Barnabas Mafwere (9), aliyedaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtoto wa baba yake mkubwa, simulizi kamili imepatikana baada ya ndugu jamaa na majirani wa marehemu kuzungumza na gazeti hili. Marehemu Edyline Barnabas Mafwere enzi za uhai wake. Judith, msichana anayedaiwa kufanya mauaji hayo ambayo yamegeuka kuwa gumzo mjini hapa, anadaiwa alijaribu kumuua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani