Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto wa Rais Kizimbani kwa ufisadi

Kesi ya ufisadi dhidi ya Karim Wade, mtoto wa rais wa zamani wa Senegal Abdoulaye Wade imeanza kusikilizwa huko Dakar Senegal.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Maafisa 16 wa FIFA kizimbani kwa ufisadi

Waendesha mashtaka nchini Marekani wametangaza mashtaka mapya dhidi ya maafisa wapatao kumi na sita wa shirikisho la kandanda duniani FIFA kwa kuhusika na tuhuma za rushwa baada ya uchunguzi ndani ya shirikisho hilo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi Tanesco, Wachina kizimbani kwa tuhuma za ufisadi

Bukoba.Wafanyakazi wawili wa Tanesco na raia wawili wa China wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Kagera kwa tuhuma za  kutenda makosa kumi na sita na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja.

 

10 years ago

Habarileo

Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto

MKAZI wa Kinondoni Msisiri jijini Dar es Salaam, Ally Mzaki (27) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kujibu mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka mitano.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi kizimbani wizi wa mtoto

WATU wawili akiwemo askari Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, wakituhumiwa kuiba mtoto. Mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo konstebo wa Polisi WP 5367 Prisca Isaya (35) mkazi wa Ilala Dar es Salaam na mkazi wa Njisi wilayani Kyela mkoani hapa Salehe Mwangosi (28).

 

11 years ago

Habarileo

Baba, walezi mtoto wa Morogoro kizimbani

BABA mzazi pamoja na walezi wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa takribani miaka mitatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Morogoro na kusomewa mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto huyo.

 

11 years ago

Michuzi

WATUHUMIWA WA MTOTO ALIYEKUFA KUTOKA KWENYE BOX KIZIMBANI MOROGORO

Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Hayati Nasra Rashid,  ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro. Watuhumiwa watatu akiwemo baba yake mzazi wa Nasra, Rashid Mvungi, mama mkubwa wa Nasra, Mariam Saidi na Mume wa mama Mariam Said walifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro kujibu tuhuma za mashtaka ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai wake.  Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa staili ya...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI: MTOTO WANGU ALIUGUA CORONA NA KUPONA KWA KUJIFUKIZA,KULA MALIMAO

Haki miliki ya picha
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kwamba mwanawe aliambukizwa virusi vya corona lakini akapona baada ya kujitenga,kunywa malimao na kujifukiza.Rais Magufuli amezungumza wakati akitoa salamu kwa watanzania aliposhiriki ibada ya Jumapili katika kanisa la kilutheri Usharika wa Chato mkoani Geita.''Mtoto wangu alipata corona....mtoto wa kuzaa mimi , alijifungia kwenye chumba huko akaanza kujifukiza akanywa malimao na tangawizi, amepona yuko mzima anapiga push ups''...

 

10 years ago

Habarileo

Wataka Rais ajaye adhibiti ufisadi

WAKATI joto la Urais likishika kasi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, wananchi wa Tanzania wameonesha kumtaka rais ambaye atahakikisha anadhibiti rushwa na ufisadi, upatikaji wa ajira na elimu bora nchini.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunataka Rais jasiri atakayefufua kashfa za ufisadi huu

RUSHWA na ufisadi ni mambo ambayo yametangaziwa vita na kila awamu ya serikali inayoingia madarak

Joseph Mihangwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani