Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI: MTOTO WANGU ALIUGUA CORONA NA KUPONA KWA KUJIFUKIZA,KULA MALIMAO

Haki miliki ya picha
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kwamba mwanawe aliambukizwa virusi vya corona lakini akapona baada ya kujitenga,kunywa malimao na kujifukiza.Rais Magufuli amezungumza wakati akitoa salamu kwa watanzania aliposhiriki ibada ya Jumapili katika kanisa la kilutheri Usharika wa Chato mkoani Geita.''Mtoto wangu alipata corona....mtoto wa kuzaa mimi , alijifungia kwenye chumba huko akaanza kujifukiza akanywa malimao na tangawizi, amepona yuko mzima anapiga push ups''...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Magufuli amesesema mtoto wake aliugua ugonjwa wa Covid-19 na kupona

Rais wa Tanzania John Magufuli amesema kuwa idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona imepungua kwa kiasi kikubwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais Magufuli asema ana imani ugonjwa wa corona umeondolewa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu

Rais Magufuli aliwaomba raia wa taifa hilo kutumia siku tatu kuanzia tarehe 17 hadi 19 Aprili 2020, kumuomba Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na janga la ugonjwa wa corona.

 

10 years ago

Bongo5

Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!

Rapper Mabeste ameshare kile alichoita “ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!” Mabeste akiwa na mke wake Lisa na mtoto wao Kendrick Hivi karibuni rapper huyo alielezea kwa kirefu jinsi mke wake Lisa Karl Fickenscher alivyougua kwa muda mrefu mara baada ya kujifungua mtoto wao Kendrick, kiasi cha kufikiri […]

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWAPONGEZA WAISLAM KWA KUMALIZA MFUNGO WA RAMADHANI, AWASHUKURU KWA KULIOMBEA TAIFA DHIDI YA CORONA

DODOMA, Tanzania
RAIS Dk. John Magufuli amewapongeza Waislam wote nchini kwa kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku akiwashuru kwa namna walivyoshiriki kuliombea Taifa hasa  katika kipindi hiki cha kukabilia na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo yamesemwa leo (Jumapili, Mei 24, 2020) na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akizungumza na waumini wa dini ya kiislam mara baada ya kumaliza kuswali sala ya Eid El Fitri katika Msikiti wa Gaddafi, jijini Dodoma. Pia Rais Dkt. Magufuli...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afanya Kisomo Kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kupona

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya Mashekhe na wageni waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu baada ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama kilichofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumapili Desemba 7, 2014.Mjukuu wa Rais, Ayman Ridhiwani Kikwete akicheza kwa furaha wakati Babu yake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru wageni na Mashekhe waliohudhuria hafla ya kisomo maalum kilichofanyika katika viwanja vya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanaswa kwa kula maiti ya mtoto

Polisi nchini Pakistan wamenasa jamaa moja na wanamsaka mwenzake baada ya maiti kupatikana imekatwa

 

9 years ago

Habarileo

Slaa: Rais wangu ni Dk Magufuli

KATIBU Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema anamkubali kwa asilimia 90 mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akisema anafaa kwa nafasi hiyo kwa kuwa ni jasiri na ana uwezo wa kupambana na ufisadi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kutana na Msafiri Mjema aliyebuni mfumo kujifukiza jijini Dar es Salaam

Wakati dunia ikiendelea kupambana na virusi vya Corona, Mtanzania Msafiri Mjema amebuni mfumo rahisi wa kujifukiza alioupa jina la Aspera Covid 19 Nyungu, anaoamini ''unatibu'' virusi vya corona.

 

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani