Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Virusi vya Corona: Kutana na Msafiri Mjema aliyebuni mfumo kujifukiza jijini Dar es Salaam

Wakati dunia ikiendelea kupambana na virusi vya Corona, Mtanzania Msafiri Mjema amebuni mfumo rahisi wa kujifukiza alioupa jina la Aspera Covid 19 Nyungu, anaoamini ''unatibu'' virusi vya corona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hatari ya kuambukizwa corona Dar es Salaam ipo juu yasema Marekani

Hatari ya kupata maambukizi ya Corona jijini Dar es Salaam ni kubwa sana. Licha ya kwamba taarifa hazitolewi mara kwa mara, ubalozi wa Marekani Tanzania waeleza.

 

5 years ago

Michuzi

DC MSAFIRI AWATAKA WATANZANIA KUENDELEA KUUNGANA KATIKA MAPAMBANO DHINI YA VIRUSI VYA CORONA

Na Amiri Kilagalila, Njombe

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amesema watanzania wataendelea kuungana katika mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) na kamwe hawawezi kuacha ugonjwa huo ukatawala.

Ruth Msafiri ameyasema hayo wakati akiahirisha ibada ya kufunga na kuombea maambukizi ya virusi vya COVID-19 iliyofanyika kwa wiki moja na waumini wa kanisa la Tanzania assemblies of God (T.A.G) Melinze lililopo halmashauri ya mji wa Njombe mkoani humo.

“Corona imeingia...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda na Biashara ampongeza mjasiriamali mtanzania aliyebuni kifaa maalumu cha kunawia mikono ili kujikinga na virusi vya Corona

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 30 Machi, 2020 amepokea kifaa maalumu cha kunawia mikono kilichotengenezwa na mjasiriamali wa kitanzania ndugu. Jonas Urio (Ambaye anatokea katika mkoa wa Manyara).
 Akizungumza leo Waziri Bashungwa amempongeza Jonas Urio kwa ubunifu wake huo wa kutengeza kifaa kizuri na bora cha kunawia mikono ambacho kinaweza kutumiwa na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuhudumia watu mbalimbali kusafisha mikono yao ili kuendeleza...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Vijana Kenya wavumbua mfumo wa CovIdent unaotarajiwa kutambua wenye virusi

Chuo kikuu Cha teknolojia cha Meru nchini Kenya kimevumbua mfumo wa kidigitali unaofahamika kama CovIdent utakaotoa alama za data binafsi kwa lengo la kurahisisha upimaji wa virusi vya corona kwa watu wengi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je mfumo wa maisha ya shule na vyuo utabadilika vipi kutokana na virusi Tanzania?

Nchini Tanzania, maelfu wa wanafunzi wa vyuo na wale wa sekondari wanaomaliza kidato cha sita hii leo wameanza rasmi masomo yao baada ya kuwepo katika likizo ya ghafla kwa muda wa miezi miwili iliyosababishwa na kutokea kwa janga la virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Ushahidi wa awali waonesha jinsi inavyoweza kufundisha mfumo wa kinga kudhibiti corona

Majaribio zaid yanatarajiwa kufanyika ili kuthibitisha kama chanjo hiyo inaweza kuzuia maambukizi ya corona.

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA WILAYA ILALA BI. SOPHIA MJEMA AISHUKURU TAASISI YA ASSAS TRUST YA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema (kushoto) akiishukuru Taasisi ya Assas Trust kwa michango yao wanayoendelea kutoa kupitia Ofisi yake kama ambavyo leo Mei 19, 2020 wameto nyakula mbalimbali kwa Kaya 150 kwa wenye uhitaji, kulia ni mfanyakazi wa kujitolea wa Taasisi hiyo  Abdulhakim Bayakubu
 Baadhi ya wawakilishi wa Taasisi ya Assas Trust wakishusha mifuko ya vyakula eneo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwa niaba ya kumkabidhi Mkuu wa Wilaya kwa malengo kuwafikia wananchi wenye...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani