Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maafisa 16 wa FIFA kizimbani kwa ufisadi

Waendesha mashtaka nchini Marekani wametangaza mashtaka mapya dhidi ya maafisa wapatao kumi na sita wa shirikisho la kandanda duniani FIFA kwa kuhusika na tuhuma za rushwa baada ya uchunguzi ndani ya shirikisho hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa Rais Kizimbani kwa ufisadi

Kesi ya ufisadi dhidi ya Karim Wade, mtoto wa rais wa zamani wa Senegal Abdoulaye Wade imeanza kusikilizwa huko Dakar Senegal.

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi Tanesco, Wachina kizimbani kwa tuhuma za ufisadi

Bukoba.Wafanyakazi wawili wa Tanesco na raia wawili wa China wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Kagera kwa tuhuma za  kutenda makosa kumi na sita na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja.

 

10 years ago

GPL

MAAFISA WA FIFA WAKAMATWA ZURICH KWA TUHUMA ZA RUSHWA

Polisi wakiwa katika harakati ya kuwakamata maofisa hao. Makamu wa rais wa FIFA Jeffrey Webb ni miongoni mwa maofisa wa FIFA waliokamatwa katika hotelia ya Zurich nchini Switzerland. Polisi wakiwakamata maofisa hao.…

 

10 years ago

Vijimambo

MAAFISA SABA WA JUU WA FIFA WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA RUSHWA MJINI ZURICH NCHINI SWITZERLAND

Maafisa saba wa juu wa shirikisho la soka duniani, FIFA wamekamatwa kwa shutuma za kupokea rushwa. Maafisa hao walikamatwa kwenye hoteli ya Baur au Lac ya jijini Zurich, Jumatano hii. Polisi wa Uswisi wamekamata maafisa hao wakiwemo makamu wa rais wawili baada ya kuivamia kwa kushtukiza hoteli hiyo. Makamu wa rais wa FIFA, Jeffrey Webb anaaminika kuwa mmoja wa maafisa waliokamatwa alfajiri ya leo wakiwa kwenye hoteli ya kifahari nchini Uswisi
 Eduardo Li, kutoka Costa Rica naye pia alikamatwa...

 

10 years ago

StarTV

Magufuli awaonya maafisa wanaoendeleza ufisadi

Wakati akampeni za kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika octoba 25 mwaka huu  Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ametoa onyo kali kwa maafisa walio katika taasisi za serikali  na halmashauri mbalimbali nchini wanaoendeleza na kufumbia,macho maswala ya,Rushwa na vitendo vya ufisadi na kuwa kikwa kwa maendeleo.

Magufuli ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM ambaye pia ni waziri wa Ujenzi  ametoa kauli hiyo wakati akiwahutubia...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maafisa wa Fifa wakamatwa Zurich

Maafisa kadha wa Fifa wamekamatwa kwenye msako wa polisi uliofanywa katika hoteli moja kuu mjini Zurich.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA:Madai mapya ya ufisadi yazuka

Madai mapya ya ufisadi uliofanyika wakati wa shughuli ya kuwatafuta waandalizi wa kombe la dunia la mwaka 2018 na 2022 yamezuka

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufisadi:FIFA yamtetea Jerome Valcke

Shirikisho la kandanda duniani,FIFA, limekanusha madai kwamba katibu wao mkuu,Jerome Valcke,alihusika katika kashfa ya ufisadi ambapo hongo ya mamilioni ya dola ilitolewa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani