Ufisadi:FIFA yamtetea Jerome Valcke
Shirikisho la kandanda duniani,FIFA, limekanusha madai kwamba katibu wao mkuu,Jerome Valcke,alihusika katika kashfa ya ufisadi ambapo hongo ya mamilioni ya dola ilitolewa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
FIFA yaanika siri za Jerome Valcke
Waendesha mashitaka wa Uswisi wamethibitisha kwamba shirikisho la soka duniani,FIFA ,limekubali kuweka wazi akaunti ya barua pepe mali ya Jerome Valcke.
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/E125/production/_85973675_seppblatter_getty.jpg)
Fifa suspends Blatter, Platini & Valcke
Fifa provisionally suspends president Sepp Blatter, secretary general Jerome Valcke and Uefa chief Michel Platini for 90 days.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Fifa yataka Valcke apigwe marufuku miaka tisa
Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza katibu mkuu wa shirikisho hilo linalosimamia soka duniani Bw Jerome Valcke apigwe marufuku miaka tisa.
11 years ago
BBCSwahili01 Jun
Madai ya ufisadi dhidi ya FIFA yatolewa
Madai mapya ya ufisadi yametolewa dhidi ya shirikisho la soka duniani FIFA kuhusiana na maandalizi ya Qatar.
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
FIFA:Webb akanusha mashtaka ya ufisadi
Makamu wa rais wa zamani wa shirikisho la Soka duniani FIFA Jeffery Webb amekanusha mashtaka ya ufisadi mbele ya mahakama mjini New York.
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Maafisa 16 wa FIFA kizimbani kwa ufisadi
Waendesha mashtaka nchini Marekani wametangaza mashtaka mapya dhidi ya maafisa wapatao kumi na sita wa shirikisho la kandanda duniani FIFA kwa kuhusika na tuhuma za rushwa baada ya uchunguzi ndani ya shirikisho hilo.
10 years ago
BBCSwahili30 Nov
FIFA:Madai mapya ya ufisadi yazuka
Madai mapya ya ufisadi uliofanyika wakati wa shughuli ya kuwatafuta waandalizi wa kombe la dunia la mwaka 2018 na 2022 yamezuka
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Jack Warner aapa kufichua ufisadi FIFA
Aliyekuwa makamu wa rais wa FIFA Jack Warner amesema atafichua kila anachojua kuhusu ufisadi katika shirikisho hilo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania