A-Z MTOTO ALIVYONYONGWA MOROGORO
Na Dustan Shekidele, Morogoro SIKU tatu baada ya mazishi ya mtoto Edyline Barnabas Mafwere (9), aliyedaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtoto wa baba yake mkubwa, simulizi kamili imepatikana baada ya ndugu jamaa na majirani wa marehemu kuzungumza na gazeti hili. Marehemu Edyline Barnabas Mafwere enzi za uhai wake. Judith, msichana anayedaiwa kufanya mauaji hayo ambayo yamegeuka kuwa gumzo mjini hapa, anadaiwa alijaribu kumuua...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMTOTO ALIVYONYONGWA NA BABA WA KAMBO
11 years ago
Habarileo27 May
Baba, walezi mtoto wa Morogoro kizimbani
BABA mzazi pamoja na walezi wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa takribani miaka mitatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Morogoro na kusomewa mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto huyo.
11 years ago
Mwananchi12 Jul
UKATILI: Mtoto afichwa uvunguni kwa miaka 6 Morogoro
11 years ago
CloudsFM03 Jun
11 years ago
Michuzi04 Jun
mazishi ya mtoto nasra mjini morogoro yakusanya maelfu ya waombolezaji
11 years ago
Michuzi10 Jun
WATUHUMIWA WA MTOTO ALIYEKUFA KUTOKA KWENYE BOX KIZIMBANI MOROGORO
11 years ago
GPLMAZISHI YA MTOTO NASRA MJINI MOROGORO YAKUSANYA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI SIKU YA JANA
11 years ago
CloudsFM29 May
YULE MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI MOROGORO HUYU HAPA AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, Nasra Mvungi ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa uchunguzi zaidi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Morogoro, Dk Godfrey Mtei alisema Nasra alipelekwa Muhimbili juzi usiku baada ya hali yake kutoridhisha.
Alisema afya ya Nasra ilibadilika ghafla juzi asubuhi na kushindwa kupumua vizuri, jambo lililowalazimu madaktari kumpeleka Muhimbili kwa gari maalumu la wagonjwa...
11 years ago
CloudsFM02 Jun
MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.
Mwishoni...