UKATILI: Mtoto afichwa uvunguni kwa miaka 6 Morogoro
>Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa, baada ya kubainika mtoto wa miaka sita akiwa amefichwa uvunguni mwa kitanda na kufanyiwa vitendo vya kikatili na mama yake mzazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii20 Jul
Mtoto afichwa uvunguni kwa miezi mitatu
11 years ago
Dewji Blog22 May
INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4
Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.
MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .
Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...
11 years ago
Mwananchi22 May
Mtoto afichwa kwenye boksi miaka minne
11 years ago
CloudsFM16 Jul
HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA MIAKA SITA
SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo.
Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho, Masumbuko Mkwama (25),...
11 years ago
Mwananchi02 Jul
UKATILI: Amfungia mtoto katika banda la mbuzi kwa miaka 10
11 years ago
CloudsFM02 Jun
MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.
Mwishoni...
11 years ago
Mwananchi14 Jun
UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili
11 years ago
Mwananchi12 Sep
Mtoto afichwa chumbani miezi 4
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Mtoto aliyefichwa uvunguni alazwa ICU