Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA MIAKA SITA

SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo.
Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho, Masumbuko Mkwama (25),...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UNDANI MTOTO ALIYEFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA

Stori: DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo. Mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mtoto aliyefichwa uvunguni ana nafuu’

Hali ya mtoto Devota Malole (7) mwenye ulemavu wa viungo na ambaye inadaiwa alifichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa miaka mitano, imeanza kuimarika lakini bado madaktari wanaendelea kufuatilia afya yake kwa karibu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyefichwa uvunguni alazwa ICU

Uchunguzi wa awali wa afya ya mtoto, Devota Malole (7) aliyefichwa ndani ya uvungu wa kitanda kwa miaka mitano na mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Sarah Mazengo imebainika kuwa mtoto huyo ana utapiamlo mkali, malaria na upungufu wa damu.

 

11 years ago

CloudsFM

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA MINNE NA MAMA YAKE MLEZI ILI ASIMWAMBUKIZE VIRUSI VYA UKIMWI

Mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi.

Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.
Wakizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto afichwa uvunguni kwa miaka 6 Morogoro

>Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha  kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa, baada ya kubainika mtoto wa miaka sita akiwa amefichwa uvunguni mwa kitanda na kufanyiwa vitendo vya kikatili na mama yake mzazi.

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE ANAYEDAIWA KUUAWA MA MTOTO WA WAZIRI

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
INASIKITISHA! Mmiliki wa Shule ya Msingi na Awali (International) ya Mount Zion iliyopo Bahari Beach, Dar, Annah Mizighi Mwambili, 47, (pichani) ameuawa na mwili wake kutupwa ndani ya shule yake baada ya kupotea kwa zaidi ya miezi sita huku mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Tatu Ntimizi, Said Ntimizi akidaiwa kuwa mmoja kati ya watuhumiwa wa mauaji...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka sita abakwa India

Mtoto wa miaka 6 wa shule amebakwa na wafanyakazi wawili wa shule moja maarufu Kusini mwa mji wa Bangaloer nchini India.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani