Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU NDIYE ANAYEDAIWA KUUAWA MA MTOTO WA WAZIRI

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
INASIKITISHA! Mmiliki wa Shule ya Msingi na Awali (International) ya Mount Zion iliyopo Bahari Beach, Dar, Annah Mizighi Mwambili, 47, (pichani) ameuawa na mwili wake kutupwa ndani ya shule yake baada ya kupotea kwa zaidi ya miezi sita huku mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Tatu Ntimizi, Said Ntimizi akidaiwa kuwa mmoja kati ya watuhumiwa wa mauaji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

POLISI WA KIKE ANAYEDAIWA KUIBA MTOTO, HUYU HAPA!

Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya SIKU chache baada ya kukamatwa kwa askari wa Jeshi la Polisi aliyefahamika kwa jina la Prisca Kilwai mwenye namba WP 5367 na picha yake kudaiwa ‘kuminyiwa’ na askari wenzake ili isionekane, hatimaye Ijumaa Wikienda limeinasa. Mwanamama ambaye ni askari wa Jeshi la Polisi aliyefahamika kwa jina la Prisca Kilwai mwenye namba WP 5367 anayedaiwa kuiba mtoto wa jinsia ya kiume aliyefahamika...

 

11 years ago

CloudsFM

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA MIAKA SITA

SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo.
Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho, Masumbuko Mkwama (25),...

 

11 years ago

CloudsFM

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA MINNE NA MAMA YAKE MLEZI ILI ASIMWAMBUKIZE VIRUSI VYA UKIMWI

Mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi.

Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.
Wakizungumza na...

 

10 years ago

GPL

BABA ANAYEDAIWA KUMCHINJA MWANAYE HUYU HAPA

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata MAPYA yameibuka! Kwamba baba mzazi anayedaiwa kumchinja mwanaye hivi karibuni maeneo ya Mabibo Luhanga jijini Dar, Maneno William Kasuga (50) (pichani),  kuwa kabla hajafanya unyama huo aliomba atumiwe pesa na mzazi mwenzie ndipo  amrudishe mtoto. Baba aliyefahamika kwa jina la William Kasuga akionekana katika picha na mwanae aliyemchinja. Akizungumza na waandishi wetu bibi wa marehemu...

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA FACEBOOK ANAYEDAIWA KUMNYONGA MKE WA MTU GESTI DAR NI HUYU!

Stori: Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
MAPYA tena! Yale mauaji ya mke wa mtu, Ashura Maulid yaliyotokea kwa kunyongwa gesti na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake wa kwenye mtandao wa kijamii Facebook, Charles Raphael (pichani), sasa Uwazi limepata picha yake na mengine yameibuka. Charles Raphael anayedaiwa kumnyonga mke wa mtu gesti. MTUHUMIWA WA MAUAJI
Taarifa kutoka chanzo makini zimeeleza kuwa, mwanaume...

 

9 years ago

Mwananchi

Huyu ndiye Mwalimu Kassim Majaliwa

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tamissemi (Elimu), Kassim Majaliwa ndiye Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ataapishwa leo mjini Dodoma kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Tanzania tangu uhuru.

 

9 years ago

Mwananchi

Tibaigana: Huyu ndiye Rais niliyemtaka

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna mstaafu Alfred Tibaigana amesema Rais John Magufuli amepatikana wakati sahihi, kwa kuwa nchi inamhitaji kiongozi ambaye akitoa amri inatekelezwa mara moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani