Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili

>Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa  kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka miwili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mama ajeruhi mtoto wake wa miaka miwili

Mtoto Christina Kusale (2) amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala baada ya kufanyiwa ukatili na mama yake mzazi kwa kumkata sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia maumivu makali.

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto afichwa uvunguni kwa miaka 6 Morogoro

>Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha  kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa, baada ya kubainika mtoto wa miaka sita akiwa amefichwa uvunguni mwa kitanda na kufanyiwa vitendo vya kikatili na mama yake mzazi.

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Amfungia mtoto katika banda la mbuzi kwa miaka 10

>Juni 21 ilikuwa ni siku ya kawaida kwa Mama Nancy mkazi wa Narok nchini Kenya, lakini ilifichua siri nzito ya mtoto aliyefichwa kwa miaka kumi katika banda la mbuzi.

 

11 years ago

GPL

MAMA WA MTOTO WA MIAKA MIWILI,ASEMA: ‘HATA MIMI NAPENDA KUISHI KAMA WENGINE’

Stori: Mwandishi Wetu NI kweli kama binadamu hujafa hujaumbika! Maana ya msamiati huu ni kwamba, siku binadamu anapoingia kaburini ndipo kuumbika kwake kulivyo!
Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo Kata ya Vigwaza Wilaya ya  Bagamoyo, Pwani amejikuta katika wakati mgumu kufuatia mguu wake wa kushoto kuvimba mfano wa tende kwa ugonjwa ambao bado haujapata tiba. Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo Kata ya...

 

11 years ago

GPL

MTOTO ATESWA SIKU 730!

Stori: Deogratius Mongela
SIKU 730 au miaka miwili ya unyama na ukatili uliombatana na vipigo mfululizo, vimempa wakati mgumu katika maisha mtoto wa miaka 15, Melina aliyefika katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012 akitokea  kijijini Ishozi- Kiziba, Kagera kwa lengo la kufanya kazi za ndani, yaani ‘hausigeli’. Mtoto Melina wa (15) aliyefika katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012 akitokea kijijini Ishozi-...

 

11 years ago

GPL

MTOTO ATESWA KWA WAYA...

MKE wa rais, mama Salma Kikwete alizungumza kweli kwamba, mtoto wa mwenzio ni wako! Lakini sivyo kwa mtoto Suleiman Riziki (4), mkazi wa Pugu Kinyamwezi, jijini Dar es Salaam ambaye amejikuta katika wakati mgumu kufuatia madai kwamba amekuwa akiteswa  na mama yake wa kufikia hadi kudhoofika afya. Kwa mujibu wa baba mzazi wa mtoto huyo, Riziki Suleiman, mateso hayo yalikuwa yakitendwa na mwanamke huyo aliyemtambulisha kwa jina...

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI ATESWA NA MACHO MIAKA 10

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha
MTOTO Omar Mayunga (10) (pichani) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Sombetini jijini hapa, ameshindwa kuendelea na masomo kutokana na ugonjwa wa kuvimba macho na anahitaji msaada wa kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Kilimanjaro, Christian Medical Centre ‘KCMC’. Mtoto Omar Mayunga akiwa na mama yake. Mayunga anayeishi Sombetini na mama...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri aomba miaka miwili

Kocha wa Simba, Mzambia Patrick Phiri amesema iwapo klabu yake itamvumilia kwa miaka miwili atatengeneza wachezaji bora kama ilivyo kwa nyota wa TP Mazembe ya DR Congo (DRC), Mbwana Samatta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Santo miaka miwili Simba

KLABU ya Simba imesajili nyota wawili Wakenya; Raphael Mungai kutoka Klabu ya KCB ya Kenya anayecheza nafasi ya ushambuliaji na kiungo wake wa zamani, Jerry Santo akitokea Coastal Union ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani