MWANAFUNZI ATESWA NA MACHO MIAKA 10
![](http://api.ning.com:80/files/dOV8831GDKcMsoavqsKeO2oTp*f98zrMF8jlR5QSZaHFMRem5IWaXvfV*75sz96sm7nelweC1oJXgFYiWj*pP05Na7IUNKaQ/nomajjjjjsana.gif)
Stori: Joseph Ngilisho, Arusha MTOTO Omar Mayunga (10) (pichani) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Sombetini jijini hapa, ameshindwa kuendelea na masomo kutokana na ugonjwa wa kuvimba macho na anahitaji msaada wa kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Kilimanjaro, Christian Medical Centre ‘KCMC’. Mtoto Omar Mayunga akiwa na mama yake. Mayunga anayeishi Sombetini na mama...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jun
UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Mwanafunzi jela miaka 30 kwa ubakaji
MWANAFUNZI mmoja wa sekondari ya Hunyari, Wilaya hapa, Mkoa wa Mara, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kuchapwa viboko 12 na Mahakama ya Wilaya hiyo kwa kosa la kumbaka mwanafunzi...
10 years ago
Habarileo27 Sep
Mwanafunzi UDOM jela miaka sita
MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkiad Kabunduguru (28) amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia.
11 years ago
Habarileo12 Mar
Jela miaka 10 kwa kumpa mimba mwanafunzi
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imemhukumu mfanyabiashara wa mbuzi, Adam Shaban Hole (46) kwenda jela miaka 10 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi, kushiriki kumtoa mimba na kusababisha kifo chake.
10 years ago
Habarileo17 Apr
Kijana jela miaka 30 kwa kumlawiti mwanafunzi
MAHAKAMA ya Wilaya ya Tabora imehukumu Masudi Nassor (20) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wa kike wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka tisa.
11 years ago
Habarileo21 Mar
Mwanafunzi adaiwa kunajisi mtoto wa miaka minne
Mwanafunzi wa darasa la kumi Shule ya Sekondari ya Mwera Wilaya ya Kati Unguja Rashid Suleiman Ame anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kunajisi mtoto mwenye umri wa miaka 4 (jina linahifadhiwa).
10 years ago
GPL05 Sep
MWANAFUNZI WA KIKE MIAKA 11 ANASWA KWA TUHUMA ZA WIZI DAR
10 years ago
Vijimambo24 Jan
HUYU NDIO MWANAFUNZI MZEE ZAIDI DUNIANI ANAYESOMA SHULE YA MSINGI, ANA MIAKA 90
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/23/150123014307_gogo_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Akiwa na umri wa miaka 90 mwanamke wa Kenya ambaye anahudhuria masomo akiwa na wajukuu zake wapatao sita inaaminika ndiye mwanafunzi mzee zaidi anayesoma shule ya msingi duniani.
Akiwa ameketi dawati la mbele kabisa darasani ,yuko darasa la tano na amevalia nguo za shule , Priscilla Gogo Sitienei anamsikiliza mwalimu anayefundisha kwa makini hukua akiandika majina ya wanyama kwa kiingereza kwenye daftari lake.Prissilla alijiunga na shule hii ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-WP6iF2F-vss/VPdgFLJ9KFI/AAAAAAABnDE/hLJqJw_HNF0/s72-c/1036.jpg)
Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-WP6iF2F-vss/VPdgFLJ9KFI/AAAAAAABnDE/hLJqJw_HNF0/s640/1036.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-V1UQiJ_mNtc/VPdgJn3vryI/AAAAAAABnDM/zPWV8-VZLwQ/s640/1031.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-RMNp-NXmTOY/VPdgKSJSpbI/AAAAAAABnDU/hEyIWj4H6do/s640/1005.jpg)