MWANAFUNZI WA KIKE MIAKA 11 ANASWA KWA TUHUMA ZA WIZI DAR
Mwanafunzi wa kike wa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka 11 amenaswa na Jeshi la Polisi Dar leo eneo la Posta kwa tuhuma za wizi na utapeli wa njia za udanganyifu.
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jul
TUHUMA: Mwamuzi wa Fifa asakwa kwa tuhuma za wizi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf2h6wfB18UE9SJUhOwLtxw4RqeonotNo3J04JBHaV*JL9Hp*8*sB*OQ87Td1kGZLFZDPBlsGaC09Eg7WHT4kGQU/sangoma.jpg?width=650)
SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Mchezaji wa EPL anaswa kwa wizi London
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dboIRMmfKpTVtE37JfIgwxi8xd-WxRQN4YAMxw4L2rGol63tBdSPVHN2utcOG10T8HxZqCroR96vCxPKvJ8sziW/aibu.jpg?width=650)
MREMBO ANASWA KWA WIZI WA ‘MAKUFULI’...
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Wanne wauawa kwa tuhuma za wizi
WATU wanne wameuawa kwa kupigwa marungu, kuchomwa mikuki na miili yao kuteketezwa kwa moto wilayani Sengerema, Mwanza wakituhumiwa kuwa wezi. Watu hao huku wawili kati yao ni ndugu, waliuawa na...
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Hakimu anaswa na Takukuru kwa tuhuma za kuomba rushwa
11 years ago
Habarileo08 Jan
Mkazi wa Mbagala anaswa kwa tuhuma za kuwa na heroin
MKAZI wa Mbagala, Salama Omary(39) amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa na pipi 67 za dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 48, alizokuwa amezimeza tumboni.
11 years ago
Habarileo09 Apr
Wananchi waua watatu kwa tuhuma za wizi
WATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni vibaka wameuawa na wananchi wenye hasira kwa tuhuma za kuendesha uporaji kwa kuvunja nyumba za watu na kuiba.
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Polisi mbaroni kwa kumburuza mwanamke umbali wa mita 200 kwa tuhuma za wizi