Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi waua watatu kwa tuhuma za wizi

WATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni vibaka wameuawa na wananchi wenye hasira kwa tuhuma za kuendesha uporaji kwa kuvunja nyumba za watu na kuiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TUHUMA: Mwamuzi wa Fifa asakwa kwa tuhuma za wizi

>Mwamuzi msaidizi wa soka nchini, Hamis Chang’walu anasakwa na Jeshi la Polisi akituhumiwa kwa wizi wa nguo za kike, maarufu ‘madela’ katika kesi ambayo inahusisha watu wengine watatu ambao wamekamatwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanne wauawa kwa tuhuma za wizi

WATU wanne wameuawa kwa kupigwa marungu, kuchomwa mikuki na miili yao kuteketezwa kwa moto wilayani Sengerema, Mwanza wakituhumiwa kuwa wezi. Watu hao huku wawili kati yao ni ndugu, waliuawa na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi mbaroni kwa kumburuza mwanamke umbali wa mita 200 kwa tuhuma za wizi

Viongozi na wanaharakati wa haki za binaadamu kutoka kaunti ya Nakuru nchini Kenya wamepaza sauti zao kukemea vitendo vya ukatili unaofanywa na polisi mjini humo.

 

10 years ago

Habarileo

Watatu mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulPOLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mwanamke ambao wote ni wakazi wa Kijiji cha Mkindo wilayani Mvomero mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji ya Huruma Naloloi (32) mkazi wa Mikocheni, Kata ya Dakawa kwa kutumia bunduki na kumpora pikipiki yake.

 

10 years ago

Michuzi

WATATU MBARONI KWA UVUNJAJI NA WIZI MKOANI DODOMA

Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia mtu mmoja aliyekamatwa huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Yarabi Salama (Yarabi Salama guest house) katika Manispaa ya Dodoma. 
Aliyekamatwa anafahamika kwa jina la MASAGARA S/O MESO, Mwenye miaka 40, Kabila Mzanaki wa Butiama, akiwa na funguo bandia 19, Master key 2, Bisibisi 2, Kisu kimoja, Tupa moja, Mikasi mitatu mikubwa ya kukatia vyuma, Msumeno ya kukatia vyuma mitano, Mitalimbo ya...

 

11 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA KIKE MIAKA 11 ANASWA KWA TUHUMA ZA WIZI DAR

Mwanafunzi wa kike wa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka 11 amenaswa na Jeshi la Polisi Dar leo eneo la Posta kwa tuhuma za wizi na utapeli wa njia za udanganyifu.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WATATU MBARONI KWA UVUNJAJI NA WIZI MKOANI DODOMA

Kamanda wa Polisi Dodoma DAVID MISIME - SACP akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya  kuwakamata wezi watatu kutokana na wizi waliokuwa wakiendelea kuufanya mkoani Dodoma.Baadhi ya laptop zilizoibiwa kwenye sehemu mbalimbali mkoani Dodoma zikioneshwa kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) mara baada ya kukamatwa wezi hao.
 Hivi ni vifaa vya kuvunjia vilivyokamatwa na jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma  Baadhi ya mabegi yaliyokuwa yametunza laptop pamoja na vifaa vilivyokuwa...

 

10 years ago

StarTV

Watatu washikiliwa kwa tuhuma za kuvunja kituo cha Polisi.

Na Jackson Monela,

Morogoro.

 

Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wakazi watatu wa Mgeta wilayani Kilombero mkoani Morogoro kwa tuhuma za kujihusisha na uvunjaji wa kituo kidogo cha Polisi Mgeta na kuiba baadhi vya vielelezo vya jeshi hilo pamoja Bunduki aina ya SMG yenye risasi 30.

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi wa Polisi Leonard Paul amewataja watuhumiwa wanaoshikiliwa na jeshi hilo kuwa ni pamoja na Ramadhan Shewele mwenye miaka 20, Khamis Ahmed miaka 45 na Ignas...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani