Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MREMBO ANASWA KWA WIZI WA ‘MAKUFULI’...

Na Dustan Shekidele, Morogoro
MREMBO Asna Eliasmkazi wa maeneo ya Manzese mkoani hapa, ameingia matatani baada ya kutiwa mbaroni kwa wizi wa nguo za ndani za mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la aina yake, lilitokea Jumatatu iliyopita mchana wa jua kali nyumbani kwa Kigogo wa UWT kupitia CCM, Bi. Mwajuma Malingo anayeishi Mtaa wa Holowera Kata ya Mji Mpya. Akizungumza na paparazi wetu kuhusu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AIBU KUBWA MREMBO ADAKWA KWA WIZI HOSPITALI!

Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
MREMBO mmoja aliyejulikana kwa jina la Mariam Moshi (23), mkazi wa Mwananyamala Ujiji, aliponea chupuchupu kuuawa na wagonjwa wenye hasira kali waliolazwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar baada ya kudaiwa kuiba nguo. Mariam Moshi akihamaki baada ya kukamatwa na nguo anazodaiwa kuiba katika wodi ya wazazi Hospitalini Mwananyamala.  Walinzi wa hospitali hiyo walimuokoa...

 

11 years ago

GPL

SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO

Na Waandishi Wetu
MGANGA wa kienyeji ‘Sangoma’aitwaye Ramadhani Issa (20) amedaiwa kuwatorosha watoto wawili, Salim Swalehe(13) na Laurent Oscar (13) wanaosoma katika Shule ya Msingi ya Pamba jijini hapa.
Tukio hilo limetokea Januari 20, mwaka huu katika kitongoji cha Ujaluoni, Igogo jijini hapa baada ya watoto hao kutoonekana kwa mwezi mzima tangu Desemba 27, mwaka jana. Inadaiwa kwamba watoto hao walirudi makwao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji wa EPL anaswa kwa wizi London

Aliyekuwa Mchezaji wa ligi kuu ya Uingereza anaswa kwa wizi katika maduka ya Harrods mjini London

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA KIKE MIAKA 11 ANASWA KWA TUHUMA ZA WIZI DAR

Mwanafunzi wa kike wa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka 11 amenaswa na Jeshi la Polisi Dar leo eneo la Posta kwa tuhuma za wizi na utapeli wa njia za udanganyifu.

 

9 years ago

GPL

MREMBO ANASWA AKIIBA SUPERMARKET

Imelda mtema Ni aibu 100%! Mrembo mkali aliyetambuliwa kwa jina moja la Winifrida, amekumbwa na fedheha ya aina yake baada ya kunaswa akiiba pafyumu kwenye supermarket ikidaiwa kuwa tabia hiyo kwa sasa imeshamiri jijini Dar kwa mabinti walio wengi. Mrembo huyo akidhibitiwa. Tukio hilo la aibu ya kupitiliza lililonaswa na gazeti hili lilijiri wikiendi iliyopita ndani Supermarket ya TSN iliyopo maeno ya Bamaga-Mwenge jijini...

 

11 years ago

GPL

MREMBO ANASWA KAVAA NGUO ZA KUAMBIANA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
AMA kweli duniani kuna sarakasi! Takribani siku kumi tangu alipofariki dunia aliyekuwa ‘kichwa’ kwenye filamu za Kibongo, Adam Phillip Kuambiana (38), mrembo aliyejitambulisha kwa jina Mary Njombe amenaswa na nguo za staa huyo wakati mali za marehemu hazijagawanywa. Mary Njombe aliyenaswa akiwa amevaa nguo za marehemu Adam Phillip Kuambiana. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu...

 

10 years ago

GPL

AIBU FUNGA MWAKA! MREMBO WA BONGO MOVIE ANASWA USIKU MNENE

Na Musa Mateja HII kweli ni aibu funga mwaka! Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora amenaswa na paparazi wetu akivunja amri ya sita ndani ya gari na dada mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, Amani linakupa mchapo kamili. Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora na binti huyo wakiwa kwenye mahaba mazito. Tukio hilo la kinyaa lilitokea hivi karibuni maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam, karibu kabisa na maegesho ya magari...

 

10 years ago

GPL

MKE WA MTU ANASWA WIZI WA MADELA

Waandishi wetu
Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Zaituni almaarufu Zai, mkazi wa Tandika, Dar, ambaye ni mke wa mtu amejikuta akila kibano ‘hevi’ baada ya kunaswa laivu kwa wizi wa madela madukani. Zaituni anayedaiwa kuiba madela. Tukio hilo linadaiwa kuchukua nafasi hivi karibuni kwenye maduka ya Kariakoo jijini Dar ambapo Zai akiwa na mwenzake aliyemtaja kwa jina moja la Maimuna waliwelewa mtego baada...

 

10 years ago

GPL

NJEMBA ANASWA WIZI WA FEDHA ZA MTANDAONI

Stori: MASHAKA KISUSI,MWANZA/Risasi
JAMAA aliyetambulika kwa jina moja la Jacob, mkazi wa Majengo wilayani Misungwi, Mkoani Mwanza, amejikuta yuko mikononi mwa polisi wakati akifanya jaribio la wizi wa fedha sh. 70, 000 kupitia huduma za fedha za mtandao wa simu. Kijana Jacob anayedaiwa kuiba kwa kutumia…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani