AIBU FUNGA MWAKA! MREMBO WA BONGO MOVIE ANASWA USIKU MNENE
Na Musa Mateja HII kweli ni aibu funga mwaka! Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora amenaswa na paparazi wetu akivunja amri ya sita ndani ya gari na dada mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, Amani linakupa mchapo kamili. Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora na binti huyo wakiwa kwenye mahaba mazito. Tukio hilo la kinyaa lilitokea hivi karibuni maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam, karibu kabisa na maegesho ya magari...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Diamond afunika usiku wa Funga Mwaka Concert Dar Live
Mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akifanya yake usiku huu Dar Live.
10 years ago
GPLAIBU JAMANI! MUME ANASA PICHA CHAFU ZA MKEWE NA MSANII WA BONGO MOVIE
11 years ago
Dewji Blog31 May
Breaking News: Msiba mwingine Bongo Movie “George Tyson” afariki kwenye ajali ya gari usiku huu
Produza maarufu wa filamu nchini George Tyson (pichani) amefariki dunia usiku huu kwenye ajali ya gari Morogoro wakitokea Dodoma na wenzake sita kujeruhiwa akiwemo Blogger maarufu DJ Choka.
Chanzo cha jali hiyo akijajulikana bado MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutawapa taarifa hapo baadae.
Taarifa hizi zimethibitishwa na jamaa wa karibu wa marehemu.
MOblog inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha marehemu George Tyson na inawaombea nafuu wote waliojeruhiwa kwenye...
9 years ago
GPLMREMBO ANASWA AKIIBA SUPERMARKET
11 years ago
GPLMREMBO ANASWA KAVAA NGUO ZA KUAMBIANA
10 years ago
GPLMTANGAZAJI ALIZWA GARI USIKU MNENE
10 years ago
GPLAIBU KUBWA MREMBO ADAKWA KWA WIZI HOSPITALI!