MREMBO ANASWA KAVAA NGUO ZA KUAMBIANA
![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3Lv7VBvWcEsDjsmD922n3dxNlUL93jiZWNSn8311OnVt*EgEuEB5HY3-waubwhsY4cA5W2U6jaojXFT2X2-Her8b/mrembo.jpg)
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya AMA kweli duniani kuna sarakasi! Takribani siku kumi tangu alipofariki dunia aliyekuwa ‘kichwa’ kwenye filamu za Kibongo, Adam Phillip Kuambiana (38), mrembo aliyejitambulisha kwa jina Mary Njombe amenaswa na nguo za staa huyo wakati mali za marehemu hazijagawanywa. Mary Njombe aliyenaswa akiwa amevaa nguo za marehemu Adam Phillip Kuambiana. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL*M-6DZRoPGmURX0YVdgoMEAWpz6Yqjy5S18gMLUDKu2zNUZa3izW6WsG2uCZ*goZ6e-EJaw2PVyHMdrADJWL8h/BACK.jpg?width=650)
MREMBO: NIMESALI BILA NGUO FREEMASON
Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani/Amani
INATOSHA! Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27), ameibuka na kudai kuwa amekuwa akisali bila nguo kwenye ibada ya imani ya Freemason inayosifika kwa ushirikina. Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27) anayedai kushiriki imani ya kifreemason. Katika mahojiano yaliyofanyika hivi karibuni ndani ya chumba cha habari, makao makuu ya gazeti hili Bamaga, Mwenge… ...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omJ8a*S3N*xtqHdCPmVG3231dD-uxCv3x8UuPSLvb-rSMOxFIl9kv1XS9j2uth*LbrGTQ0EmsPs42UKiKnHUXYlUAdc5Ns8C/BACKWIKIENDA.jpg?width=650)
MREMBO ANASWA AKIIBA SUPERMARKET
Imelda mtema Ni aibu 100%! Mrembo mkali aliyetambuliwa kwa jina moja la Winifrida, amekumbwa na fedheha ya aina yake baada ya kunaswa akiiba pafyumu kwenye supermarket ikidaiwa kuwa tabia hiyo kwa sasa imeshamiri jijini Dar kwa mabinti walio wengi. Mrembo huyo akidhibitiwa. Tukio hilo la aibu ya kupitiliza lililonaswa na gazeti hili lilijiri wikiendi iliyopita ndani Supermarket ya TSN iliyopo maeno ya Bamaga-Mwenge jijini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dboIRMmfKpTVtE37JfIgwxi8xd-WxRQN4YAMxw4L2rGol63tBdSPVHN2utcOG10T8HxZqCroR96vCxPKvJ8sziW/aibu.jpg?width=650)
MREMBO ANASWA KWA WIZI WA ‘MAKUFULI’...
Na Dustan Shekidele, Morogoro
MREMBO Asna Eliasmkazi wa maeneo ya Manzese mkoani hapa, ameingia matatani baada ya kutiwa mbaroni kwa wizi wa nguo za ndani za mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la aina yake, lilitokea Jumatatu iliyopita mchana wa jua kali nyumbani kwa Kigogo wa UWT kupitia CCM, Bi. Mwajuma Malingo anayeishi Mtaa wa Holowera Kata ya Mji Mpya. Akizungumza na paparazi wetu kuhusu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f3Cpy2Teci1IxelW-lMtQzMiiwyjuTezfs4jxpnYSu2ubQRELXbhkIDvMc5YwPt3fAGuHqC7yq53vOBweP2SMR4M0EDkBFbO/BACKPAGEAMANI.jpg?width=650)
AIBU FUNGA MWAKA! MREMBO WA BONGO MOVIE ANASWA USIKU MNENE
Na Musa Mateja HII kweli ni aibu funga mwaka! Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora amenaswa na paparazi wetu akivunja amri ya sita ndani ya gari na dada mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, Amani linakupa mchapo kamili. Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora na binti huyo wakiwa kwenye mahaba mazito. Tukio hilo la kinyaa lilitokea hivi karibuni maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam, karibu kabisa na maegesho ya magari...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT4JcAqmnM2sO00p5pCpLeCOivHGXerm8P4jwXyuqjjRwalnzDkMIbxJ6KVUf457a*oVFT0VieH0J64jg5nCBcSY/adam.jpg)
MCHUMBA WA KUAMBIANA AIBUKA!
Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja
MAMBO yameanza! Siku mbili tu baada ya mazishi ya mwigizaji na mwongoza filamu mahiri Bongo, marehemu Adam Kuambiana, mrembo mmoja ameibuka na kusema alikuwa mchumba wa marehemu, Ijumaa linakujuza. Mrembo anayejulikana kwa jina la Lulu Jumanne ‘Selina’. Kwa mujibu wa mrembo huyo, Lulu Jumanne ‘Selina’, alifahamiana na marehemu Kuambiana mwaka 2006 akamwambia ndoa...
11 years ago
MichuziBURIANI ADAM KUAMBIANA
Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo.
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG-phqV3RMMROQDz7LYXXWfLkf6FWueW4CwMbOFFVrsNwlrd7XEOlqjT5NRPJChDLte73btAwiZIfYJE126zJX83/JB.jpg?width=650)
JB AFUNGUKIA KABURI LA KUAMBIANA
Staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’. GLADNESS MALLYA BAADA ya wadau mbalimbali kuhoji kwa nini staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ ameliacha kaburi la aliyekuwa mwongozaji wa filamu katika kampuni yake, marehemu Adam Kuambiana mwenyewe amefunguka kwamba hali ya kifedha ni ngumu kwa sasa. Akipiga stori na Centre Spread, JB alisema anatamani kulikarabati kaburi la Kuambiana ambalo limetoboka na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
ADAM KUAMBIANA AZIKWA
Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi.…
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YmKwyVodFwtfArPFQKa*Zn99NY4MHn5V-82XnCG4bS8ahY7zenH2F2BSDniHhX95Wztm*L6y77wlRs6ut9pDXkt/JB.jpg?width=650)
JB AWAZUNGUMZIA KANUMBA, KUAMBIANA
NI maisha ya nguli wa filamu Bongo, Jacob Stephen Mbura ‘JB’. Anasimulia kila kitu alichopitia maishani mwake tangu kuzaliwa hadi sasa alipo. Hakika ni simulizi ambayo imejaa kila aina ya mafunzo kuhusu maisha na changamoto zake. Kikubwa katika simulizi hii, ni kuwatia moyo watu wenye ndoto kama zake au nyingine, kutokata tamaa pindi wanapokumbana na matatizo wakati wa kufuatilia ndoto zao. Kujaribu kupandikiza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania