MTANGAZAJI ALIZWA GARI USIKU MNENE

MTANGAZAJI wa zamani wa Redio Clouds FM ambaye sasa ni ripota wa Redio Deutsche Welle ya Ujerumani, George Njogopa ameporwa gari usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita maeneo ya Maryland Bar, Mwenge jijini Dar. Mtangazaji wa zamani wa Redio Clouds FM ambaye sasa ni ripota wa Redio Deutsche Welle ya Ujerumani, George Njogopa akiwa Rais Jakaya Kikwete. Kwa mujibu wa chanzo, mtangazaji huyo alikuwa na mwanamke ambaye anadaiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Jokate na Alikiba kunani? Wadaiwa kuonekana pamoja usiku mnene
Habari zilizoletwa mezani kwetu zinadai kuwa kuna “kitu” cha chini chini kinaendela kati ya msanii wa filamu na bongofleva nchini Jokate Mwegelo na mwana-bongofleva maarufu Ali Kiba baada ya wawili hao kunaswa wakiwa pamoja usiku wa manane katika ukumbi wa Dar live huko mbagala kwenye show ya Alikiba.
Wadakuzi w mambo wanadai bidada Jokate alionekana akiwa nyuma ya stage akifuatilia kwa umakini show hiyo ya Alikiba usiku wote. Na alipofuatwa kuulizwa kunani kati yao wawili alijibu kuwa yeye...
10 years ago
GPL
AIBU FUNGA MWAKA! MREMBO WA BONGO MOVIE ANASWA USIKU MNENE
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
11 years ago
Dewji Blog31 May
Breaking News: Msiba mwingine Bongo Movie “George Tyson” afariki kwenye ajali ya gari usiku huu
Produza maarufu wa filamu nchini George Tyson (pichani) amefariki dunia usiku huu kwenye ajali ya gari Morogoro wakitokea Dodoma na wenzake sita kujeruhiwa akiwemo Blogger maarufu DJ Choka.
Chanzo cha jali hiyo akijajulikana bado MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutawapa taarifa hapo baadae.
Taarifa hizi zimethibitishwa na jamaa wa karibu wa marehemu.
MOblog inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha marehemu George Tyson na inawaombea nafuu wote waliojeruhiwa kwenye...
11 years ago
GPL
SHILOLE ALIZWA SIMU
10 years ago
GPL
NAY ALIZWA NA MREMBO
9 years ago
Bongo Movies23 Nov
Dude Alizwa Kila Kitu
YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.
Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.
“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...
11 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
9 years ago
Raia Mwema30 Dec
Mbunge alizwa Mil. 40/ - kusaka uwaziri
WAZIRI na Naibu Waziri wake katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wameshindwa kufanikiwa kwenye
Mwandishi Wetu