SHILOLE ALIZWA SIMU

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hivi karibuni alimwaga machozi hadharani baada ya kuibiwa simu yake ya mkononi, Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Kwa mujibu wa ‘sosi’ wetu aliyemshuhudia mwanadada huyo akilia, tukio hilo lilitokea Jumapili baada ya Shilole kushuka kwenye gari lake na kumwachia fundi kwa ajili ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Utani wa Baba levo kuhusu matatizo ya simu za wasanii Shilole, Nay wa mitego na wengine.
Kutana na Fix za mchekeshaji na msanii Baba Levo, leo kaja na hii ya kufichua matatizo ya simu za mastaa mbalimbali wa Bongo, kazungumzia ya Lanah, Shilole, Nay wa mitego na wengine, bonyeza play kwenye hii video hapa chini usikie fix zake… Baba Levo kuhusu magari ya wasanii yalivyo na tabu Baba Levo akiongelea nyumba ya […]
The post Utani wa Baba levo kuhusu matatizo ya simu za wasanii Shilole, Nay wa mitego na wengine. appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPL
NAY ALIZWA NA MREMBO
9 years ago
Bongo Movies23 Nov
Dude Alizwa Kila Kitu
YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.
Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.
“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...
9 years ago
Raia Mwema30 Dec
Mbunge alizwa Mil. 40/ - kusaka uwaziri
WAZIRI na Naibu Waziri wake katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wameshindwa kufanikiwa kwenye
Mwandishi Wetu
11 years ago
GPL
MTANGAZAJI ALIZWA GARI USIKU MNENE
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Polisi alizwa bodaboda Uwanja wa Taifa
KATIKA hali ya kushangaza na kusikitisha, askari polisi Raphael Maganga, juzi aliibiwa pikipiki yake aliyokuwa ameiegesha ndani ya Uwanja wa Taifa wakati wa mechi ya kirafiki kati ya Taifa Stars...
11 years ago
GPL
EMMANUEL MBASHA ALIZWA HATI ZA NYUMBA, VIWANJA
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...