Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkazi wa Mbagala anaswa kwa tuhuma za kuwa na heroin

Godfrey NzowaMKAZI wa Mbagala, Salama Omary(39) amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa na pipi 67 za dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 48, alizokuwa amezimeza tumboni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanaswa kwa tuhuma ya kuwa na heroin kwenye kondomu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasVIJANA wawili wenye asili ya kiasia, wakazi wa jijini hapa, wametiwa mbaroni na polisi mkoani hapa kwa tuhuma ya kukutwa na kete 170 za dawa za kulevya aina ya heroin na bangi kete 300.

 

5 years ago

Michuzi

MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25

MKAZI wa Jiji la Dar es Salaam Pedro Chongo a.k.a Salim Mgana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye uzito wa gramu 1523.25.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate  imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakimu anaswa na Takukuru kwa tuhuma za kuomba rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemnasa Hakimu mmoja wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh500,000.

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA KIKE MIAKA 11 ANASWA KWA TUHUMA ZA WIZI DAR

Mwanafunzi wa kike wa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka 11 amenaswa na Jeshi la Polisi Dar leo eneo la Posta kwa tuhuma za wizi na utapeli wa njia za udanganyifu.

 

11 years ago

Mwananchi

TUHUMA: Mwamuzi wa Fifa asakwa kwa tuhuma za wizi

>Mwamuzi msaidizi wa soka nchini, Hamis Chang’walu anasakwa na Jeshi la Polisi akituhumiwa kwa wizi wa nguo za kike, maarufu ‘madela’ katika kesi ambayo inahusisha watu wengine watatu ambao wamekamatwa.

 

10 years ago

GPL

ANAYEDAIWA KUWA TAPELI WA AJIRA ANASWA

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
YAHAYA unaishi wapi? Jamaa mmoja anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter amenaswa kwa kujipatia pesa kiudanganyifu akijifanya Ofisa wa Bodi ya Mikopo wa Chuo cha Ardhi kilichopo jijini Dar. Tapeli anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter. Tukio hilo lilitokea  Septemba 19 mwaka huu katika Kituo cha Afya cha Kimara baada ya tapeli huyo kumlaghai dada mmoja...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bond asikitishwa na tuhuma za kuwa na watoto wanne na kumsababishia Wastara kuzimia

Mtangazaji, Mwigizaji na muongozaji wa filamu Bond Bin Sinnan ambae pia ni meneja wa mwigizaji Wastara Juma amejitoteza mtandaoni na kuonesha kupinga kile ambacho kilandikwa na magezi ya udaku kuwa ana watoto  watatuna na mmoja  amezaliwa majuzi  na baada ya Wastara kupigiwa simu mpenzi wazamani wa Bond, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ kujulishwa kuwa “demu” wa Bond amezaa na inadaiwa Wastara alizimia baada ya kusikia taarifa hizo.

Sasa jana Bond ameibuka na kubandika haya mtandaoni.

"Binadamu...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yamkabithi Mkazi wa Kyela Mbeya Bwana Edom Mwansasu gari Lake Baada ya kuibuka kuwa moja kati ya washindi wa wiki ya pili ya Airtel Yatosha Zaidi

Mkaazi wa Kyela mkoani Mbeya Bwana Edom Dickson Mwansasu amekabithiwa gari aina ya Toyota IST na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mara baada ya kuibuka mshindi kupitia droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi iliyofanyika siku ya ijumaa iliyopita Bwana Edom Mwansasu mwenye umri wa miaka 40 anajishughulisha na shughuli za kilimo huko Ngonga Kyela Mkoani Mbeya ameibuka mshindi baada ya kununua na kujiunga na vifurushi vya siku vya huduma ya Airtel yatosha kila...

 

11 years ago

Habarileo

Mkazi wa Itigi mbaroni kwa meno 21 ya tembo

POLISI mkoani Singida inamshikilia mkazi wa Kijiji cha Mwamagembe Tarafa ya Itigi wilayani Manyoni kwa tuhuma za kupatikana na vipande 21 vya meno ya tembo vyenye thamani ya Sh milioni 43.12 tu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani