MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25
MKAZI wa Jiji la Dar es Salaam Pedro Chongo a.k.a Salim Mgana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye uzito wa gramu 1523.25.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziAHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA 30 GEREZANI KWA KOSA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE ZENYE UZITO WA GRAMU 306.6
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi, imemuhukumu Islem Shebe Islem (50) raia wa Tanzania mwenye asili ya kiarabu, kutumikia kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia katika kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa gramu 306.32.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 8 2020 mbele Jaji Elinaza Luvanda baada upande wa mashtaka kupitia mashahidi wake saba na vielelezo mbali mbali zikiwemo dawa hizo kuweza...
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziWAKAZI WATATU DAR WAFIKISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA SHTAKA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE
WAKAZI watatu wa jijini Dar es Salaam Jimmy Mlaki (23), mkazi wa Kinondoni Moscow, Stanley Ngowi maarufu kama Sultani (24), mkazi wa Tabata Segera na Issa Omari (29) wa Kimara wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine.
Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi Wankyo Simon amedai mbele ya Hakimu Mkazi Rashid Chaungu kuwa Januari 27 mwaka huu huko Ubungo Kibo...
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Adakwa na gramu 5,000 za dawa za kulevya Z’bar
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Wairani kortini kwa dawa za kulevya kilo 41
5 years ago
MichuziTanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Kesi saba za kusafirisha dawa za kulevya zaiva
11 years ago
MichuziPOLISI KILIMANJARO YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIKA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA .
10 years ago
MichuziAFRIKA KUSINI YATAJWA KUWA NA NJIA NYINGI ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
Imeelezwa kuwa nchi ya Afrika Kusini katika bara la Afrika ndio inayoongoza kwa kuwa na njia nyingi za usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya Cocaine na Heroine .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Afisa Habari wa Kituo Cha Habari wa Umoja wa Mataifa (UNIC),Stella Vuzo alisema kuwa hilo limetokana na ripoti ya Bodi ya Kupambana na Dawa za Kulevya ya Umoja wa Mataifa imeweka mkazo katika kwa nchi mwanachama kuweka mikakati katika...