WAKAZI WATATU DAR WAFIKISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA SHTAKA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE
![](https://1.bp.blogspot.com/-i2agun98gWY/Xl5dotg8QhI/AAAAAAALgv0/KKWHkXefr6oYfm87SSQUDuVjtrH72c_XACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-03%2Bat%2B14.33.40.jpeg)
Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu Jamii
WAKAZI watatu wa jijini Dar es Salaam Jimmy Mlaki (23), mkazi wa Kinondoni Moscow, Stanley Ngowi maarufu kama Sultani (24), mkazi wa Tabata Segera na Issa Omari (29) wa Kimara wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine. Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi Wankyo Simon amedai mbele ya Hakimu Mkazi Rashid Chaungu kuwa Januari 27 mwaka huu huko Ubungo Kibo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TlZuy_yX7iw/XrWMFT12naI/AAAAAAALphM/er39MqVCxU0WPndFnZpMvBWNq7y6Zv19gCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA 30 GEREZANI KWA KOSA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE ZENYE UZITO WA GRAMU 306.6
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi, imemuhukumu Islem Shebe Islem (50) raia wa Tanzania mwenye asili ya kiarabu, kutumikia kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia katika kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa gramu 306.32.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 8 2020 mbele Jaji Elinaza Luvanda baada upande wa mashtaka kupitia mashahidi wake saba na vielelezo mbali mbali zikiwemo dawa hizo kuweza...
9 years ago
MichuziDAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE NA COCAINE ZATEKETEZWA CHINI YA UANGALIZI MKALI JIJINI DAR
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5FmTVwt37AI/XvX2fDMVBAI/AAAAAAALvko/btmRVnzIerYSUZyWdeh95oeqhBYmp0XMQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-26%2Bat%2B2.17.25%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EbHbewBWDdo/XphGFNQC7SI/AAAAAAALnKU/WeHyTQQhEuk0TIfpCve5XsZBU-JKLB7UACLcBGAsYHQ/s72-c/2f7ba3f2-d99b-4b84-81db-818ae508a62f.jpg)
WALIOCHAPISHA TANGAZO LA MIKOPO LINALOSEMA 'JANET MAGUFULI SACCOS' WAFIKISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
MWANAMKE Masse Uledi (43) ambaye ni Mkazi wa Kitunda Magore na mfanyabiashara Nkinda Shekalage (34), anayeishi Tegeta wazo wamewamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka matatu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustina Mmbando ambayo ni kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha fedha.
Katika hati ya mashtaka...
9 years ago
VijimamboDAWA ZA KULEVYA HEROINE NA COCAINE ZATEKETEZWA CHINI YA UANGALIZI MKALI JIJINI DAR
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Watatu kortini kwa kusafirisha mihadarati
WATUHUMIWA watatu raia wa kigeni wa kusafirisha dawa za kulevya jana wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kusomewa mashtaka matatu tofauti. Watuhumiwa hao ni Grace Teta Gratu(24) Liberaia,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ryCzxfSXI1c/XrwBYWtr8TI/AAAAAAALqG4/oTun857D7oABDIPdAlH-L5RB6YFfN6jsQCLcBGAsYHQ/s72-c/KILLPIC.jpg)
MBEYA UMEPATIKANA UNGA UDHANIWAO KUWA NI DAWA ZA KULEVYA 'HEROINE'
![](https://1.bp.blogspot.com/-ryCzxfSXI1c/XrwBYWtr8TI/AAAAAAALqG4/oTun857D7oABDIPdAlH-L5RB6YFfN6jsQCLcBGAsYHQ/s640/KILLPIC.jpg)
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia MPALUKA NYAGALI MDUDE [32] Mkazi wa Itezi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kupatikana na Unga unaodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya aina ya Heroine.
Kufuatia taarifa za ki-intelijensia zilizopatikana mtuhumiwa alikamatwa mnamo tarehe 10.05.2020 majira ya saa 17:00 Jioni katika msako uliofanyika huko maeneo ya Kadege Stendi, Kata ya Forest, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya.
Mara baada ya kukamatwa mtuhumiwa Polisi walikwenda nyumbani kwake Mtaa wa Mwasote –...
10 years ago
Bongo527 Oct
Nzowa asema dawa za kulevya alizokamatwa nazo Chid Benz ni Heroine
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Kesi saba za kusafirisha dawa za kulevya zaiva