Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watatu kortini kwa kusafirisha mihadarati

WATUHUMIWA watatu raia wa kigeni wa kusafirisha dawa za kulevya jana wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kusomewa mashtaka matatu tofauti. Watuhumiwa hao ni Grace Teta Gratu(24) Liberaia,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAKAZI WATATU DAR WAFIKISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA SHTAKA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu Jamii
WAKAZI watatu wa jijini Dar es Salaam Jimmy Mlaki (23), mkazi wa Kinondoni Moscow, Stanley Ngowi maarufu kama Sultani (24),  mkazi wa Tabata Segera na Issa Omari (29) wa Kimara wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine.
 Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi Wankyo Simon amedai mbele ya Hakimu Mkazi Rashid Chaungu kuwa Januari  27 mwaka huu huko Ubungo Kibo...

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kusafirisha maiti yenye mihadarati

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kusafirisha maiti akiwa na kete 17 tumboni kati ya 24 zinazodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya wakitokea mjini Tunduma, mkoani Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Kortini kwa kusafirisha mirungi

Watu watatu wakiwamo madereva wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) jana walifikishwa mahakamani wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi.

 

5 years ago

Michuzi

MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25

MKAZI wa Jiji la Dar es Salaam Pedro Chongo a.k.a Salim Mgana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye uzito wa gramu 1523.25.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate  imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini wakidaiwa kusafirisha kobe

Wakazi watano wa Zanzibar wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya kusafirisha kobe 201 aina ya India wenye thamani ya Sh30 milioni.

 

11 years ago

Habarileo

Kortini wakidaiwa kusafirisha kokeni za mil 250/-

WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 240.9

 

9 years ago

Mwananchi

Vigogo TAA kortini, wadaiwa kusafirisha meno ya tembo

Maofisa usalama wanne wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwamo la kuchora michoro ya kihalifu ya kusafirisha nyara za Serikali zenye thamani ya Sh267.4 milioni na matumizi mabaya ya madaraka.

 

10 years ago

Habarileo

Watatu kortini utakatishaji fedha

WATU watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya wizi na utakatishaji wa fedha.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania watatu kortini Kenya kesho

>Watanzania watatu wanashikiliwa nchini Kenya kwa kosa la kuingia nchini humo kinyume cha sheria na kuhusishwa na matukio kadhaa ya kigaidi yaliyotokea nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani