Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kortini wakidaiwa kusafirisha kobe

Wakazi watano wa Zanzibar wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya kusafirisha kobe 201 aina ya India wenye thamani ya Sh30 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kortini wakidaiwa kusafirisha kokeni za mil 250/-

WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 240.9

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni wakidaiwa kusafirisha ‘unga’ kutumia maiti

>Polisi mkoani  Morogoro, wanawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kusafirisha maiti inayosadikiwa kuwa na dawa za kulevya.

 

9 years ago

Mwananchi

Washikiliwa kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kobe 201

eshi la Polisi Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kobe hai 201 wenye thamani ya Sh30.4 milioni waliokuwa kwenye soksi kwenda Kaula Lumpa, Malaysia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kortini wakidaiwa kuiibia TPB mil. 550/-

WATU wa wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, wakikabiliwa na shitaka la wizi wa zaidi ya sh. milioni 550 mali ya Benki...

 

11 years ago

Mwananchi

Watano kortini wakidaiwa kumuua ofisa wa usalama

Watu watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi mbili tofauti za mauaji ikiwamo ya aliyekuwa Ofisa Usalama wa Taifa, Silvanus Mzeru (56).

 

10 years ago

Mwananchi

Kortini kwa kusafirisha mirungi

Watu watatu wakiwamo madereva wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) jana walifikishwa mahakamani wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu kortini kwa kusafirisha mihadarati

WATUHUMIWA watatu raia wa kigeni wa kusafirisha dawa za kulevya jana wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kusomewa mashtaka matatu tofauti. Watuhumiwa hao ni Grace Teta Gratu(24) Liberaia,...

 

9 years ago

Mwananchi

Vigogo TAA kortini, wadaiwa kusafirisha meno ya tembo

Maofisa usalama wanne wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwamo la kuchora michoro ya kihalifu ya kusafirisha nyara za Serikali zenye thamani ya Sh267.4 milioni na matumizi mabaya ya madaraka.

 

5 years ago

Michuzi

MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25

MKAZI wa Jiji la Dar es Salaam Pedro Chongo a.k.a Salim Mgana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye uzito wa gramu 1523.25.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate  imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani