Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washikiliwa kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kobe 201

eshi la Polisi Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kobe hai 201 wenye thamani ya Sh30.4 milioni waliokuwa kwenye soksi kwenda Kaula Lumpa, Malaysia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za mauaji na uhalifu mwingine uliofanyika Oktoba mwaka huu, mkoani humo kwa nyakati tofauti. Kamanda wa Polisi mkoani hapa,...

 

10 years ago

Habarileo

20 CCM washikiliwa kwa tuhuma za rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Nkasi mkoani Rukwa, inawashikilia wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwemo diwani wa Viti Maalumu (CCM) aliyemaliza muda wake, wakituhumiwa kutoa na kupokea rushwa.

 

11 years ago

Habarileo

Wanane washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Kagera

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kagera, Henry MwaibambePOLISI mkoani Kagera inashikilia watu wanane kwa tuhuma za mauaji yaliyofanyika Wilaya za Bukoba na Missenyi.

 

9 years ago

Michuzi

WATUHUMIWA 40 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA UKWEPAJI KODI.

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa 40 ambao wanahojiwa kwa tuhuma za kula njama na kuikosesha serikali mapato. Uchunguzi unafanywa kwa pamoja na maafisa wa Jeshi la Polisi na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwa lengo la kubaini jinsi ambavyo makontena 329 na mengine 2489 yalivyotolewa bandarini kinyume cha taratibu.

Kati ya hao, watuhumiwa 26 ni watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)na watumishi 03 kutoka Bandari kavu (ICD) YA AZAM wanatuhumiwa...

 

9 years ago

StarTV

Watu 18 washikiliwa na Polisi Morogoro  kwa Tuhuma Za Makosa Tofauti

Polisi mkoani Morogoro inawashikilia watu 18 kwa makosa tofauti  ambapo watu wanane wanashikiliwa kwa tuhuma za kukutwa na silaha mbili aina ya Shot Gun zikiwa na Risasi 12 na wengine wanane wakijihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya pamoja na wahamiaji haramu wawili raia wa Ethiopia wakiwa katika harakati za kuelekea nchini ya Afrika Kusini.

Kukamatwa kwa watuhumiwa hao kunatokana na jeshi la polisi mkoani humo kuendesha oparesheni maalum kwa kushilikiana na raia wema dhidi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Tisa washikiliwa kwa tuhuma za kushambulia msafara wa mgombea wa CCM

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia vijana tisa wanaotuhumiwa  kurusha mawe  kwenye msafara  wa mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini kupitia CCM,  Davis Mosha alipokuwa akitoka kwenye mkutano wa kampeni eneo la Mbuyuni.

 

10 years ago

StarTV

Watatu washikiliwa kwa tuhuma za kuvunja kituo cha Polisi.

Na Jackson Monela,

Morogoro.

 

Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wakazi watatu wa Mgeta wilayani Kilombero mkoani Morogoro kwa tuhuma za kujihusisha na uvunjaji wa kituo kidogo cha Polisi Mgeta na kuiba baadhi vya vielelezo vya jeshi hilo pamoja Bunduki aina ya SMG yenye risasi 30.

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi wa Polisi Leonard Paul amewataja watuhumiwa wanaoshikiliwa na jeshi hilo kuwa ni pamoja na Ramadhan Shewele mwenye miaka 20, Khamis Ahmed miaka 45 na Ignas...

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini wakidaiwa kusafirisha kobe

Wakazi watano wa Zanzibar wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya kusafirisha kobe 201 aina ya India wenye thamani ya Sh30 milioni.

 

9 years ago

Michuzi

KOBE 201 WALIOKUWA WAKISAFIRSHWA NJE YA NCHI WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA J.K NYERERE

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akikagua mabegi matano yenye Kobe 201 yaliyokamatwa usiku wa kuamkia leo na askari wanyamapori kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama katika uwanja wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam.  
Watuhumiwa hao wa usafirishaji wa wanyamapori wametajwa kuwa ni David Mungi mkazi wa Muheza Mkoani Tanga na Mohammed Suleiman (43) mkazi wa Zanzibar ambao katika tukio hilo walishafanikiwa kupita kwenye mitambo ya ukaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani