Vigogo TAA kortini, wadaiwa kusafirisha meno ya tembo
Maofisa usalama wanne wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwamo la kuchora michoro ya kihalifu ya kusafirisha nyara za Serikali zenye thamani ya Sh267.4 milioni na matumizi mabaya ya madaraka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Jun
2 mahakamani kwa kusafirisha, kuuza meno ya tembo
WAFANYABIASHARA wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuuza meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4.
11 years ago
Habarileo05 Feb
Wachina wa meno ya tembo wadaiwa kutaka kuhonga
RAIA watatu wa China wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4, wanadaiwa kujaribu kutoa rushwa ya Sh milioni 30.2 kwa askari ili wasifunguliwe mashitaka.
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-lQAjQVO71Lg/U43lv1hfdQI/AAAAAAAABOA/QttKyZMucGg/s72-c/ivory+px.jpg)
Kortini kwa kuuza meno ya tembo
Ni yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni tano
NA FURAHA OMARY
WAFANYABIASHARA wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuuza meno ya tembo yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni tano.
![](http://2.bp.blogspot.com/-lQAjQVO71Lg/U43lv1hfdQI/AAAAAAAABOA/QttKyZMucGg/s1600/ivory+px.jpg)
Washitakiwa hao, Salivius Matembo (39) na Manase Philemon (39), walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka ya uhujumu uchumi.
Mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi, Wakili wa Serikali, Pius Hilla akishirikiana na Mwendesha...
10 years ago
Habarileo25 Nov
Warundi kortini kwa meno 18 ya tembo
RAIA watatu wa Burundi akiwemo mwanamke wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi wa Wilaya ya Morogoro, wakikabiliwa na mashitaka matatu ya kuhujumu uchumi baada ya kukamatwa na meno ya tembo 18, na mikia mitano ya twiga, vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni 357.
11 years ago
Habarileo07 Jan
Mchina kortini kwa tuhuma ya kunaswa na meno ya tembo
WATU wawili akiwemo raia wa China waliokamatwa na meno ya tembo Bandari ya Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na nyara hizo bila kibali.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlv9Z3nXF3jwBvVRZTIeDXsbZR27HwEmr2VG64XQCtosSAHVNaI-mOkEM5ZxWRHLfrr4bzgmBRHqjwdeLHsx36o/unnamed1.jpg?width=650)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-chaPuUbmfNw/U3RZ9DrmYEI/AAAAAAAFhxg/RMJ66Jk1TZg/s72-c/unnamed+(1).jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Kortini wakidaiwa kusafirisha kobe