Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchina kortini kwa tuhuma ya kunaswa na meno ya tembo

WATU wawili akiwemo raia wa China waliokamatwa na meno ya tembo Bandari ya Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na nyara hizo bila kibali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Warundi kortini kwa meno 18 ya tembo

RAIA watatu wa Burundi akiwemo mwanamke wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi wa Wilaya ya Morogoro, wakikabiliwa na mashitaka matatu ya kuhujumu uchumi baada ya kukamatwa na meno ya tembo 18, na mikia mitano ya twiga, vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni 357.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kortini kwa kuuza meno ya tembo



 Ni yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni tano
NA FURAHA OMARY
WAFANYABIASHARA wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuuza meno ya tembo yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni tano.

Washitakiwa hao, Salivius Matembo (39) na Manase Philemon (39), walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka ya uhujumu uchumi.
Mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi, Wakili wa Serikali, Pius Hilla akishirikiana na Mwendesha...

 

9 years ago

Mwananchi

Mchina wa meno ya tembo akosa dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa maombi ya dhamana ya kesi ya kusafirisha nje ya nchi meno ya tembo yenye thamani ya Sh5.4 bilioni inayowakabili watu watatu, akiwamo raia wa China, Yang Glan.

 

9 years ago

Mwananchi

Meno ya tembo yalivyopitishwa uwanja wa ndege Dar na kunaswa Uswisi

Ilikuwa kama sinema. Inasemekana kwamba ilichukua takribani dakika 10 kati ya saa 1:30 hadi saa 1:40 usiku wa Julai 5 mwaka huu, kwa raia watatu wa China kupitisha mabegi nane yenye meno ya tembo.

 

9 years ago

Habarileo

Mchina kortini Dar akidaiwa kukutwa na meno ya simba

RAIA wa China, Jianfeng Wu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya simba yenye thamani ya Sh milioni 10.1.

 

9 years ago

Habarileo

Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya tembo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Hai kimemtaka Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kujibu tuhuma zilizokuwa zikimkabili kuhusu gari alilokuwa akitumia kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 100 mwaka jana.

 

9 years ago

Mwananchi

Vigogo TAA kortini, wadaiwa kusafirisha meno ya tembo

Maofisa usalama wanne wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwamo la kuchora michoro ya kihalifu ya kusafirisha nyara za Serikali zenye thamani ya Sh267.4 milioni na matumizi mabaya ya madaraka.

 

11 years ago

Michuzi

Jeshi la Polisi Mkoani Lindi lamsaka askari Mwenye tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya Meno ya Tembo

Jeshi la polisi mkoani Lindi linamtafuta askari wake mmoja mwenye namba F6508 Detective Constable JOSEPH YONA MASANJA mwenye Umri wa miaka 34 mzaliwa wa Wilaya ya ILEMELA Mkoani MWANZA Abae alikuwa akifanya kazi kituo cha polisi KILWA kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa vipande 62 vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 568 yaliyokuwepo kituoni hapo kama Vielelezo.
Hayo yamebainishwa na Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi,Kamishna Msaidizi Renatha Mzinga alipokuwa Akitoa taarifa kwa waandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani