2 mahakamani kwa kusafirisha, kuuza meno ya tembo
WAFANYABIASHARA wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuuza meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-lQAjQVO71Lg/U43lv1hfdQI/AAAAAAAABOA/QttKyZMucGg/s72-c/ivory+px.jpg)
Kortini kwa kuuza meno ya tembo
Ni yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni tano
NA FURAHA OMARY
WAFANYABIASHARA wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuuza meno ya tembo yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni tano.
![](http://2.bp.blogspot.com/-lQAjQVO71Lg/U43lv1hfdQI/AAAAAAAABOA/QttKyZMucGg/s1600/ivory+px.jpg)
Washitakiwa hao, Salivius Matembo (39) na Manase Philemon (39), walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka ya uhujumu uchumi.
Mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi, Wakili wa Serikali, Pius Hilla akishirikiana na Mwendesha...
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Vigogo TAA kortini, wadaiwa kusafirisha meno ya tembo
11 years ago
Habarileo13 Dec
Majadiliano kuuza meno ya tembo yanaendelea
SERIKALI inaendelea na jitihada za kuzungumza na vyombo vya kimataifa, kutafuta kukubaliwa kuuza meno ya tembo yaliyokamatwa tangu mwaka 1961. Lengo la mauzo hayo, ni kupata fedha za kuwekeza katika sekta hiyo kuimarisha ulinzi na kupambana na ujangili.
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Mshtakiwa meno ya tembo ajidhamini mahakamani
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-chaPuUbmfNw/U3RZ9DrmYEI/AAAAAAAFhxg/RMJ66Jk1TZg/s72-c/unnamed+(1).jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlv9Z3nXF3jwBvVRZTIeDXsbZR27HwEmr2VG64XQCtosSAHVNaI-mOkEM5ZxWRHLfrr4bzgmBRHqjwdeLHsx36o/unnamed1.jpg?width=650)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
10 years ago
Habarileo27 Dec
2 mbaroni kwa kukutwa na meno ya tembo
WATU wawili wametiwa mbaroni na Polisi mjini Mpanda kwa kukutwa na meno ya tembo waliokamatwa yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 157 ndani ya basi la Adventure.
10 years ago
Habarileo25 Nov
Warundi kortini kwa meno 18 ya tembo
RAIA watatu wa Burundi akiwemo mwanamke wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi wa Wilaya ya Morogoro, wakikabiliwa na mashitaka matatu ya kuhujumu uchumi baada ya kukamatwa na meno ya tembo 18, na mikia mitano ya twiga, vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni 357.