WALIOCHAPISHA TANGAZO LA MIKOPO LINALOSEMA 'JANET MAGUFULI SACCOS' WAFIKISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
![](https://1.bp.blogspot.com/-EbHbewBWDdo/XphGFNQC7SI/AAAAAAALnKU/WeHyTQQhEuk0TIfpCve5XsZBU-JKLB7UACLcBGAsYHQ/s72-c/2f7ba3f2-d99b-4b84-81db-818ae508a62f.jpg)
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
MWANAMKE Masse Uledi (43) ambaye ni Mkazi wa Kitunda Magore na mfanyabiashara Nkinda Shekalage (34), anayeishi Tegeta wazo wamewamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka matatu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustina Mmbando ambayo ni kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha fedha.
Katika hati ya mashtaka...
Michuzi