Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel yamkabithi Mkazi wa Kyela Mbeya Bwana Edom Mwansasu gari Lake Baada ya kuibuka kuwa moja kati ya washindi wa wiki ya pili ya Airtel Yatosha Zaidi

Mkaazi wa Kyela mkoani Mbeya Bwana Edom Dickson Mwansasu amekabithiwa gari aina ya Toyota IST na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mara baada ya kuibuka mshindi kupitia droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi iliyofanyika siku ya ijumaa iliyopita Bwana Edom Mwansasu mwenye umri wa miaka 40 anajishughulisha na shughuli za kilimo huko Ngonga Kyela Mkoani Mbeya ameibuka mshindi baada ya kununua na kujiunga na vifurushi vya siku vya huduma ya Airtel yatosha kila...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Airtel yamkabithi Mkazi wa Kyela Mbeya Bwana Edom Mwansasu gari Lake

Kamanda mkuu wa polisi wa Mkoa wa Mbeya Bwana Hemed Msangi (wa pili kulia) akimkabithi mshindi wa gari aina ya Toyota IST bwana Edom Dickson Mwansasu mkazi wa Kyela Mbeya baada ya kuibuka moja kati ya washindi wa wiki ya pili ya promosheni ya Airtel yatosha Zaidi. pichani kushoto ni mke wa Edom Mwansasu na kulia ni Meneja biashara wa Airtel Nyanda za juu kusini Bwana Straton Mushi. mshindi wa gari aina ya Toyota IST bwana Edom Dickson Mwansasu akiwa ndani ya gari pamoja na mke wake baada...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Yatangaza kufanya droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo itafanya droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi ambapo washindi 7 wa gari aina ya Toyota IST watapatikana na kutangazwa
Akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kuitambulisha promosheni ya Airtel yatosha zaidi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma, kwenye hoteli ya Dodoma, Afisa Uhusiano wa Airtel,Bi. Jane Matinde alisema” kama ilivyo kawaida tunazunguka katika mikoa mbalimbali kutoa elimu juu ya huduma na bidhaa zetu pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA YATOSHA ZAIDI MKOANI MTWARA MWISHONI MWA WIKI


Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh, Wilman Kapenjama akikabidi funguo ya gari kwa Mshindi wa Promosheni Airtel yatosha Zaidi mkoani Mtwara bw, Sefu Namtapika (60) ambae ni mwalimu mstaafu aliyeibuka na ushindi wa Toyota IST kupitia droo ya kwanza ya promosheni Yatosha zaidi inayoendesha na Airtel. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni toka kushoto nyuma ni Meneja mauzo wa Airtel mkoa wa Mtwara Bw, Batlomeo Masatu, Afisa Masoko wa Airtel Bi Aminata Keita, na Meneja Biashara wa kanda ya Pwani Bw Albert...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA YATOSHA ZAIDI MTWARA MWISHONI MWA WIKI‏

Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh, Wilman Kapenjama akikabidi funguo ya gari kwa Mshindi wa Promosheni Airtel yatosha Zaidi mkoani Mtwara bw, Sefu Namtapika (60) ambae ni mwalimu mstaafu aliyeibuka na ushindi wa Toyota IST kupitia droo ya kwanza ya promosheni Yatosha zaidi inayoendesha na Airtel. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni toka kushoto nyuma ni Meneja mauzo wa Airtel mkoa wa Mtwara Bw, Batlomeo Masatu, Afisa Masoko wa Airtel...

 

10 years ago

Michuzi

Mkazi wa Kondoa akabithiwa Toyota IST na Washindi saba wa Airtel yatosha watangazwa

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imemkabidhi gari aina ya Toyata IST kwa Bwana Juma Said Alli mkazi wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma mara baada ya kuiba mshindi katika droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel yatosha zaidi. Zawadi hiyo yenye thamani ya Shilingi Milioni 15 ilikabidhiwa kwa Alli mwishoni mwa wiki na Meneja wa Airtel Kanda ya Kati, Stephen Akyoo. Akizungumza mbele ya vyombo vya habari wakati akikabidhiwa gari hiyo aina ya IST, yenye namba za usajili T778 DCZ, Alli...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI

Mkurugenzi wa masoko wa Airtel bw. Levi Nyakundi (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu Omary jana katika makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel Tanzania. Anayeshuhudia (katikati) Mkurugenzi wa wa kitengo cha Mawasiliano bi Beatrice Singano Mallaya . Airtel imekabidhi magari matatu katika hafla hiyo. Mshindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu...

 

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Promesheni ya Airtel yatosha Zaidi wakabithiwa magari yao

Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange (kulia), akikabidhi funguo za gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 782 DCZ, kwa mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Donald Fred Baruti katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa mshindi huyo, Mtaa wa Ngala, eneo la Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati) ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando.Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA DROO YA MWISHO YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI YAO

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Tipwa Rashid Mapunda (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia (kutoka wa pili kushoto) ni washindi wengine wa droo hiyo, William Saimon Sondi na Boutrous Hebron Mwanjali.Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia),...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaja na Promosheni Mpya ya "shinda gari na Yatosha Zaidi"

Mkurugenzi wa kitengo cha Masoko wa Airtel Tanzania,Levi Nyakundi (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Airtel Tanzania,Beatrice Singano Mallya (pili kulia) wakifunua moja wa Gari aina ya Toyota IST ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Promosheni mpya ya Yatosha Zaidi ambayo itawawezesha wateja wa Airtel wanaotumia huduma ya Airtel Yatosha kujishindia zawadi ya Gari kupitia droo maalim itakayokuwa ikichezeshwa kila siku kwa muda wa miezi miwili,wateja watakaojiunga na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani