Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHINDI AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI

Mkurugenzi wa masoko wa Airtel bw. Levi Nyakundi (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu Omary jana katika makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel Tanzania. Anayeshuhudia (katikati) Mkurugenzi wa wa kitengo cha Mawasiliano bi Beatrice Singano Mallaya . Airtel imekabidhi magari matatu katika hafla hiyo. Mshindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA DROO YA MWISHO YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI YAO

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Tipwa Rashid Mapunda (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia (kutoka wa pili kushoto) ni washindi wengine wa droo hiyo, William Saimon Sondi na Boutrous Hebron Mwanjali.Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia),...

 

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Promesheni ya Airtel yatosha Zaidi wakabithiwa magari yao

Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange (kulia), akikabidhi funguo za gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 782 DCZ, kwa mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Donald Fred Baruti katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa mshindi huyo, Mtaa wa Ngala, eneo la Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati) ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando.Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKULIMA, MWALIMU WASHINDA MAGARI YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI

Balozi wa promosheni ya Airtel Yatosha zaidi na msanii nyota wa Bongo Movie, Elizabeth Michael 'Lulu' akiwasiliana kwa simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, katika droo iliyochezwa katika Makao Makuu ya Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam jana, ambapo wateja watatu wa mtandao huo, Namtapika Seif Kilumba wa Mtwara, Ramadhan Mohamed Dilunga wa Kimanzichana Pwani na Mwajabu Omari Churian wa Manzese jijini, waliibuka washindi na kutwaa gari aina ya Toyota IST kila...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yamkabithi Mkazi wa Kyela Mbeya Bwana Edom Mwansasu gari Lake Baada ya kuibuka kuwa moja kati ya washindi wa wiki ya pili ya Airtel Yatosha Zaidi

Mkaazi wa Kyela mkoani Mbeya Bwana Edom Dickson Mwansasu amekabithiwa gari aina ya Toyota IST na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mara baada ya kuibuka mshindi kupitia droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi iliyofanyika siku ya ijumaa iliyopita Bwana Edom Mwansasu mwenye umri wa miaka 40 anajishughulisha na shughuli za kilimo huko Ngonga Kyela Mkoani Mbeya ameibuka mshindi baada ya kununua na kujiunga na vifurushi vya siku vya huduma ya Airtel yatosha kila...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaitambulisha promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi kwa wakazi wa Arusha

Meneja Mauzo Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kanda ya kaskazini Bwana Brighton Majwala akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuitambulisha promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Mkoani Arusha , wakishuhudia (katika) Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akifatiwa na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma.Meneja Mauzo kanda ya kaskazini Bwana Brighton Majwala (kulia) ,Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde (katika) na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma kwa pamoja wakionyesha...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi kwa Wakazi wa Mwaza

Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiongea na waandishi wa habari ( pichani hawapo) wakati wa kuzindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi jijini Mwanza, Promosheni ya Airtel yatosha inawawezesha wateja wa Airtel kujishindia gari Aina ya Toyota IST moja kila siku. kushoto Afisa Masoko wa Airtel Rebecca Mauma na Kulia ni Afisa Mauzo kanda ya Ziwa Emmanuel Raphael. Afisa Masoko wa Airtel Rebecca Mauma (kushoto) akifafanua jambo wakati wa kuzindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAITAMBULISHA PROMOSHENI YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI KWA WAKAZI WA ARUSHA‏


 Meneja Mauzo kanda ya kaskazini Bwana Brighton Majwala akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuitambulisha promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Mkoani Arusha , wakishuhudia (katika) Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde  akifatiwa na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma

 Meneja Mauzo kanda…

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Yatangaza kufanya droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo itafanya droo ya wiki ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi ambapo washindi 7 wa gari aina ya Toyota IST watapatikana na kutangazwa
Akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kuitambulisha promosheni ya Airtel yatosha zaidi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma, kwenye hoteli ya Dodoma, Afisa Uhusiano wa Airtel,Bi. Jane Matinde alisema” kama ilivyo kawaida tunazunguka katika mikoa mbalimbali kutoa elimu juu ya huduma na bidhaa zetu pamoja...

 

10 years ago

Mtanzania

Meya Silaa akabidhi magari ya Airtel Yatosha

slaaNa Mwandishi Wetu, Dar es Salam
MEYA wa Ilala, Jerry Silaa, amekabidhi magari kwa washindi saba wa promosheni ya Airtel Yatosha promosheni inayoendeshwa na Kampuni ya Simu ya Airtel kwa wateja wa bando za Yatosha Zaidi.

Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana na washindi hao waliotangazwa wiki iliyopita kukabidhiwa magari yao mapya aina ya Toyota IST.
Washindi hao ni mamalishe mkazi wa Dar es Salaam, Sakina Mshamu Libwana, mganga wa tiba asilia kutoka Katavi Said Mashiko, utingo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani