Hakimu anaswa na Takukuru kwa tuhuma za kuomba rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemnasa Hakimu mmoja wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh500,000.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Hakimu mbaroni kwa tuhuma ya rushwa
5 years ago
MichuziTAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAMBURUZA KORTINI DAKTARI KWA TUHUMA YA RUSHWA
Na Godwin Myovela, Singida.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) Mkoa wa Singida imemburuza mahakamani Dkt. Abdul Sewando wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida (Mandewa) akituhumiwa kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mgonjwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jana kwenye ofisi za PCCB, Mkuu wa...
5 years ago
Michuzi
TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI MWENYEKITI WA SOKO KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu, Juni 9 mwaka huu, Songelaeli ameshtakiwa kwa kosa la kutoa rushwa ya shilingi 407,000 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Yefred...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
TAKUKURU KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WATUMISHI SABA TPA ,WAKILI WA KUJITEGEMA KWA TUHUMA ZA MAKOSA YA RUSHWA, UHUJUMU UCHUMI NA WIZI WA SH.BILIONI NANE

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WATUMISHI saba wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) pamoja na Wakili wa Kujitegemea kutoka Kampuni ya Mnengele &Associates na ELA Advocatee watafikishwa mahakamani wakati wowote kwa kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hayo yameelezwa leo Juni 12 mwaka 2020 na Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza Daud Ndyamukama kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo amefafanua watumishi hao tayari...
10 years ago
Michuzi
9 years ago
Habarileo18 Nov
Hakimu mahakamani kwa rushwa
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Shinyanga imemfikisha mahakamani Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Isungang’holo iliyopo kijiji cha Gimagi kata ya Shaghila wilaya ya Kishapu kwa mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa.
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Hakimu, mtendaji kortini kwa rushwa
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Bunda, Mara imemfikisha mahakamani Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Kibara A, Witness Lameck (38) kwa tuhuma ya kuomba na kupokea rushwa...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Hakimu, karani kortini kwa rushwa ya 50,000/-
NA SYLVIA SEBASTIAN
HAKIMU wa Mahakama ya Mwanzo Buguruni, Dar es Salaam, Grace Kivelege na karani wake, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Ilala, kujibu mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa ya sh. 50,000.
Hakimu Grace na Karani Rose Kuhima, walifikishwa mahakamani hapo jana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Wakili wa TAKUKURU, Devota Mihayo, aliwasomea washitakiwa hao mashitaka mawili ya kuomba na kupokea rushwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Juma...