Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU NDIO MWANAFUNZI MZEE ZAIDI DUNIANI ANAYESOMA SHULE YA MSINGI, ANA MIAKA 90

Gogo akiwa darasani na wanafunzi wenziwe.
Akiwa na umri wa miaka 90 mwanamke wa Kenya ambaye anahudhuria masomo akiwa na wajukuu zake wapatao sita inaaminika ndiye mwanafunzi mzee zaidi anayesoma shule ya msingi duniani. 
Akiwa ameketi dawati la mbele kabisa darasani ,yuko darasa la tano na amevalia nguo za shule , Priscilla Gogo Sitienei anamsikiliza mwalimu anayefundisha kwa makini hukua akiandika majina ya wanyama kwa kiingereza kwenye daftari lake.Prissilla alijiunga na shule hii ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Huyu ndio Mtanzania aliyeongoza orodha ya Models 10 bora wa Afrika wanaofanya Vizuri zaidi Duniani.







Herieth paul ndio mwanamitindo kutoka Tanzania aliyeongoza orodha ya Models 10 kutoka Afrika wanaofanya vizuri zaidi duniani, Herieth anakaa jijini New York,Marekani kwasasa.Hawa ndio ma Models wanaofatia kwenye orodha hiyo2.Maria Borges- Angola3. Betty Adowele - (Nigeria,Uingereza)4. Ajak Deng - (Sudan Kusini)5. Roberta Analciso - (Angola)6. Malaika Firth - (Kenya)7. Liya Kebede- (Ethiopia)8. Candice swanepoel - (South Afrika)9.Fatma Said - (Somalia)10.Anais Mali -(Chad)

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,huyu ndio mwanamke mrembo duniani?

Nyota huyo wa filamu mwenye umri wa miaka 50 ametangazwa na gazeti la People magazine kama chaguo lake la mwaka 2015.

 

11 years ago

GPL

MWALIMU SHULE YA MSINGI AMTIA MIMBA MWANAFUNZI WAKE

Ofisa Elimu Msingi, Wilaya ya Nkasi, Bw. Misana Kwangura akizungumza na Thehabari. Na Thehabari.com, Namanyere-Nkasi MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Sintali (jina tunalo) anatuhumiwa kwa kuwatia mimba wanafunzi wawili mmoja akiwa wa shule anayofundisha yeye na mwingine wa Shule ya Sekondari Sintali hali iliowafanya wanafunzi hao kukatisha masomo. Tukio hilo limetokea Katika Kijiji cha Sintali, Wilaya ya Nkasi na baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI JIJINI MBEYA

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

“PRESS RELEASE” TAREHE 01.02. 2014.



MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI.


gari ambalo halikuweza kufahamika namba zake za usajili wala jina la dereva wake lilimgonga mtembea kwa miguu mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi mbuyuni aliyetambulika kwa jina la daima faida (08) mkazi wa mbuyuni na kusababisha kifo chake papo hapo. ajali hiyo ilitokea majira ya saa 06:55hrs asubuhi...

 

11 years ago

GPL

KAMA MWANAO MZIMA MSHUKURU MUNGU...MTOTO HUYU ANA MATESO MIAKA 11

Stori: makongoro oging’
“MAISHA yangu tangu tuoane na mume wangu yalikuwa mazuri tena yenye mapenzi ndani ya nyumba lakini tatizo limekuja kujitokeza pale nilipomzaa mtoto huyu Maimuna. Mtoto Maimuna aliyezaliwa miaka 11 iliyopita katika Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga akiwa na matatizo ya kichwa kujaa maji. “Sikumuona tena mume wangu au kujua alikoelekea, sipati hata salamu kwa simu, barua hata kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ndege huyu alisafiri vipi umbali mrefu zaidi duniani?

Kwa kutumia mbinu ya kumuwekea setilaiti ndege, wanasayansi wamemfuatilia ndege ambaye amepaa zaidi ya maili 7,500 (sawa na kilomita 12,000) kutoka Afrika Kusini hadi katika eneo la kuzalia lililopo Mongolia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Toyota ndio gari maarufu zaidi duniani

Kampuni ya kutengeneza magari ya Toyota imeipiku Volkswagen kutoka kwenye nafasi ya kwanza ya makampuni yaliyouza idadi kubwa ya magari mwaka huu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani