Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMA MWANAO MZIMA MSHUKURU MUNGU...MTOTO HUYU ANA MATESO MIAKA 11

Stori: makongoro oging’
“MAISHA yangu tangu tuoane na mume wangu yalikuwa mazuri tena yenye mapenzi ndani ya nyumba lakini tatizo limekuja kujitokeza pale nilipomzaa mtoto huyu Maimuna. Mtoto Maimuna aliyezaliwa miaka 11 iliyopita katika Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga akiwa na matatizo ya kichwa kujaa maji. “Sikumuona tena mume wangu au kujua alikoelekea, sipati hata salamu kwa simu, barua hata kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMA WEWE UMEJIFUNGUA SALAMA, MTOTO WAKO NI MZIMA MSHUKURU MUNGU

Makala Makongoro Oging’
DUNIANI kuna mengi kiasi kwamba kama mama  umebeba ujauzito kwa miezi tisa na kujifungua mtoto salama na mtoto wako ni mzima unapaswa kumshukuru Mungu kwani kuna watu ambao wanapata usingizi wa mang’amung’amu kutokana na mateso ya watoto wao. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3) akilia kwa maumivu anayoyapata. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3), mkazi wa Kijiji cha Kamala, Kata...

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDIO MWANAFUNZI MZEE ZAIDI DUNIANI ANAYESOMA SHULE YA MSINGI, ANA MIAKA 90

Gogo akiwa darasani na wanafunzi wenziwe.
Akiwa na umri wa miaka 90 mwanamke wa Kenya ambaye anahudhuria masomo akiwa na wajukuu zake wapatao sita inaaminika ndiye mwanafunzi mzee zaidi anayesoma shule ya msingi duniani. 
Akiwa ameketi dawati la mbele kabisa darasani ,yuko darasa la tano na amevalia nguo za shule , Priscilla Gogo Sitienei anamsikiliza mwalimu anayefundisha kwa makini hukua akiandika majina ya wanyama kwa kiingereza kwenye daftari lake.Prissilla alijiunga na shule hii ya...

 

10 years ago

GPL

MJANE: UKIPATA AJALI UKATOKA SALAMA MSHUKURU MUNGU!

Na Mwandishi Wetu
“SIKUAMINI kama kungekuwa na siku ndoto ya maisha yangu ingebadilika na kufikia hatua hii ya mateso yasiyo na ukomo, kwa sasa shughuli zangu zote zimesimama nimekuwa mtu wa kuishi kwa kuombaomba ndani ya miaka minne”
Hivyo ndivyo mkazi huyu wa Tandika Azimio, jijini Dar es Salaam, Luna Hassan Mwampyati (34) alivyoanza kuelezea mkasa wa ajali aliyopata na kupoteza kiganja cha mkono wake wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA CCM ZA NOGA KAMA MCHARO NEW YORK LICHA YA THELUJI KUNYESHA SIKU MZIMA

 MH. Ridhiwani Kikwete akiongea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM sherehe zilizofanyika New York na kudhuliwa na wageni mbalimbali kutoka kila sehemu yenye tawi la CCM hapa Marekani. MH. Ridhiwani kikwete akiongea mbele ya wa Tanzania waliojitokeza kwenye sherehe hizo za kusherehekea miaka 38 ya kuzaliwa CCM na kuwapongeza kwa kujitokeza ingawa kulikuwa na theluji siku mzima. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York akiongea kwenye sherehe hizo Bwana Isaac Kibodya akiongea kwa...

 

10 years ago

Habarileo

'Mtoto wa miaka 10 ana mtoto'

WIMBI la watoto wenye umri chini ya miaka 18 kupata ujauzito limetajwa kuhatarisha uhai wa mama na mtoto wakati wa kujifungua suala ambalo serikali na wadau wengine wameomba kuendelea kuelimisha jamii kudhibiti mimba za utotoni.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMA UNAWEZA KUMSAIDIA HUYU MTOTO TAFADHALI SAIDIA UPUNGUZE MAUMIVU YAKE

Hajira Twalib Mdoka akiwa mwenye maumivu makali baada ya kuugua ugonjwa wa kansa.Hajira Twalib akiwa amelala kitandaniAkinyweshwa soda na babu yake Akibebwa na Babu yakeHajiraakiwa mtoto.
Stori: Makongoro Oging’
“Hali niliyonayo kiafya kwa sasa ni ya kutia mashaka, sina muda mrefu kuendelea kuishi hapa duniani, nikifikiria ninavyoteseka ndani ya familia yangu nikichanganya na maumivu ya ugonjwa usiopata matibabu, naamini bila msaada wenu nitafariki dunia.”

Hivyo ndivyo alivyoanza kusimulia...

 

11 years ago

CloudsFM

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA MIAKA SITA

SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo.
Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho, Masumbuko Mkwama (25),...

 

11 years ago

GPL

MUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA‏

Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…

 

11 years ago

GPL

JAMANI! 'MATESO YANGU ANAYAJUA MUNGU’

Makala: Deogratius Mongela na Denis Mtima WAKATI wewe unaishi vizuri na kufanya kila aina ya starehe uitakayo, mambo ni tofauti kwa Ili Chacha (40) ambaye hata mahitaji muhimu kwake ni shida kwa kuwa anasumbuliwa na gonjwa hatari la kansa kwa zaidi ya miaka 14 sasa bila matibabu yoyote.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani