Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA CCM ZA NOGA KAMA MCHARO NEW YORK LICHA YA THELUJI KUNYESHA SIKU MZIMA

 MH. Ridhiwani Kikwete akiongea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM sherehe zilizofanyika New York na kudhuliwa na wageni mbalimbali kutoka kila sehemu yenye tawi la CCM hapa Marekani. MH. Ridhiwani kikwete akiongea mbele ya wa Tanzania waliojitokeza kwenye sherehe hizo za kusherehekea miaka 38 ya kuzaliwa CCM na kuwapongeza kwa kujitokeza ingawa kulikuwa na theluji siku mzima. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York akiongea kwenye sherehe hizo Bwana Isaac Kibodya akiongea kwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZAIDI ZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK KUTOKA TEMBAPHOTO


 Tembaphoto akiwa na mama mwenye nyumba wake siku ya sherehe za miaka 38 za kuzaliwa kwa CCM. Sherehe zilifanyanyika New York na kuudhuliwa na Watanzania kutoka kila pande za Marekani. Na Mhe.Ridhiwani Jakaya ambae ni mbunge wa jimbo la Chalinze kupitia chama tawala CCM kuudhulia na kutoa hotuba kama mgeni rasmi wa sherehe hiyo. Hapa ni Miss Maundi katibu wa vijana wa CCM New York akipata ukodak juu ya zuria jekundu
 Mambo ya ukodak juu ya zuria jekundu picha kutoka Tembaphoto kwa picha zaidi...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK

 Kati ya watu waliovunja kabati na kutupia vitu classic ni pamoja na Mhe. Ridhiwani kama unavyo muona hapa akiingia ukumbini kwa kujiamini sambamba na viongozi wa Tawi la CCM New York. Mhe. aliongea mambo machache juu ya maendeleo ya nchi yetu Tanzania na mipango ya maendelea inayofanywa na chama tawala CCM. Na aliomba Watanzania waishio ughaibuni kuwa kitu kimoja bila kujali dini, kabila wala chama wote ni Watanzania na umoja na upendo ndiyo nguzo yetu ya kujivunia popote pale tulipo. Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

KUSHEHEREKEA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM MGENI RASMI RIDHIWANI KIKWETE AINGIA NEW YORK

TICKETS ON SALE NOW FOR $40 *** THEY WILL BE MORE AT THE DOOR $50SEATED 3 -COURSE DINNERFIRST CLASS SERVICERED CARPET PAPARAZZI DRESS READY FOR ACTIONHIGH LEVEL SECURITY @RICH RICH PALACE11019 ATLANTIC AVENUE RICHMOND HILL NY 11418**********************************************************PESA UNAYONUNULIA TICKET UNAPATA CHAKULA NA SOFT DRINKS KAZI KWAKO WAHI TICKET YAKO MAPEMA KWA $40 KWANI MLANGONI SIKU YA SHEREHE NI $ 50.MH. Ridhiwani Kikwete akiwa na wenyeji wake viongozi wa Tawi la CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

DK.SHEIN NA KINANA WAWASILI PEMBA KWA UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia kwa ishara ya Saluti mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba tayari kwa kuhudhuria ufunguzi wa sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi zitakazo fanyika Januari 25,2015 na ziara ya siku 5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Seif Shaaban mara baada ya kuwasili Pemba.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA YA SHEREHE YA KUZALIWA CCM TAWI LA NEW YORK

Tawi la CCM New York walivyoshereheka miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho, Kulikuwa na  hotuba ya viongozi wa tawi na mgeni rasmi kutoka Tanzania UN Mission Mama Maura Mwingira. Historia ya chama  iliyosomwa na mwenyekiti wa tawi bwana Maftah na mambo mengi kama kula chakula  kucheza ngoma na muziki kutoka kwa Dj Paul Masoud wa Boston. Mgeni rasmi  akiingia ukumbini hapa akisindikizwa na viongozi wa tawi la CCM New York.  Viongozi wakijiweka sawa kwenye meza kuu Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

THELUJI ILIYOMWAGIKA DMV SIKU MZIMA FULL POWDER

 Theluji ni kero ikianguka kwani shughuli za watu uenda slow au hata kusimama kabisa inavyoonguka theluji lakini pia inapendeza kwani mandhari ubadilika na kuwa ya kuvutia kama uonavyo kwenye ukodak huu wa vijimambo maeneo ya Maryland. Barabara imefunikwa na theluji uwezi kuona hata lami na miti yote uonekana na weupe wa theluji hiyo.
 Sehemu zenye ardhi zote uonekana nyeupe kama unga hiyo ndiyo kazi ya theluji. Magari yamefunikwa na theluji ukitaka kutoka basi inabidi uwe na kazi ya ziada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani