TASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK
Kati ya watu waliovunja kabati na kutupia vitu classic ni pamoja na Mhe. Ridhiwani kama unavyo muona hapa akiingia ukumbini kwa kujiamini sambamba na viongozi wa Tawi la CCM New York. Mhe. aliongea mambo machache juu ya maendeleo ya nchi yetu Tanzania na mipango ya maendelea inayofanywa na chama tawala CCM. Na aliomba Watanzania waishio ughaibuni kuwa kitu kimoja bila kujali dini, kabila wala chama wote ni Watanzania na umoja na upendo ndiyo nguzo yetu ya kujivunia popote pale tulipo.
Mhe....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboPICHA ZAIDI ZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK KUTOKA TEMBAPHOTO
Mambo ya ukodak juu ya zuria jekundu picha kutoka Tembaphoto kwa picha zaidi...
11 years ago
Michuzi10 Feb
TASWIRA YA SHEREHE YA KUZALIWA CCM TAWI LA NEW YORK
10 years ago
VijimamboSHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA CCM ZA NOGA KAMA MCHARO NEW YORK LICHA YA THELUJI KUNYESHA SIKU MZIMA
10 years ago
MichuziNEW YORK CITY YAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE PARTY YA NGUVU YA MIAKA 38 TANGU KUZALIWA KWA CCM -JUMAMOSI FEB 21
TICKETS PRICE: ADVANCE $40 | DOOR...
10 years ago
VijimamboNEW YORK CITY YAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE PARTY YA NGUVU YA MIAKA 38 TANGU KUZALIWA KWA CCM -JUMAMOSI FEB 21 !
Tuungane Tuiline Tanzania Yetu
![](https://lh5.googleusercontent.com/-Gb4rdsn6HBY/UWMbnZzMGQI/AAAAAAAADi0/RQdKuX85gOY/w2048-h1536/Richi%2BRich%2BPalace.jpg)
...
10 years ago
Michuzi21 Feb
KUSHEHEREKEA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM MGENI RASMI RIDHIWANI KIKWETE AINGIA NEW YORK
11 years ago
Michuzi03 Feb
10 years ago
Vijimambo01 Feb
DIAMOND, ZARI NDANI YA RUVUMA HUKU SHEREHE YA MIAKA 38 YA CCM AINOGESHA VILIVYO
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/11.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/22.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/31.jpg)