Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND, ZARI NDANI YA RUVUMA HUKU SHEREHE YA MIAKA 38 YA CCM AINOGESHA VILIVYO

Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA. Diamonda Plutnamz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini. Mkuu wa wilaya ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK

 Kati ya watu waliovunja kabati na kutupia vitu classic ni pamoja na Mhe. Ridhiwani kama unavyo muona hapa akiingia ukumbini kwa kujiamini sambamba na viongozi wa Tawi la CCM New York. Mhe. aliongea mambo machache juu ya maendeleo ya nchi yetu Tanzania na mipango ya maendelea inayofanywa na chama tawala CCM. Na aliomba Watanzania waishio ughaibuni kuwa kitu kimoja bila kujali dini, kabila wala chama wote ni Watanzania na umoja na upendo ndiyo nguzo yetu ya kujivunia popote pale tulipo. Mhe....

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATUA NA ZARI MJINI SONGEA, APIGA SHOO KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM

  Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya vitu vyao kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM leo.  …

 

10 years ago

Vijimambo

PESA NOMA HATIMAYE DIAMOND AGEUZWA BUSHOKE NA ZARI...ABEBESHWA POCHI HUKU BAUNSA WAKE AKIMCHEKA

Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba mpenzi wake Zarri Hussein, jiulize je wanaume wangapi tunaliweza jambo hilo.Kwa kitendo hicho ambacho wanawake wengi wamekifagilia na kukiita cha kigentleman unampa maksi ngapi msanii huyu?

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy

Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari  wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”

Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema  aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI NDANI YA SONGEA

MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' tayari yupo katika Mji wa Songea mkoani Ruvuma akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' tayari kwa ajili ya shoo itakayosindikiza hafla ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo katika Uwanja wa Majimaji.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani