Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM,RAIS DKT SHEIN NA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE WAWASILI PEMBA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimpokea  Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma.Makamu Mwenyeki wa CCM,Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM MJINI SONGEA LEO

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa viongozi mbali mbali wa CCM wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

DK.SHEIN NA KINANA WAWASILI PEMBA KWA UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia kwa ishara ya Saluti mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba tayari kwa kuhudhuria ufunguzi wa sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi zitakazo fanyika Januari 25,2015 na ziara ya siku 5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Seif Shaaban mara baada ya kuwasili Pemba.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA AZINDUA OFISI YA CCM MKOA WA GEITA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Ohilip Mangula akiteta jambo na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanalu Mstaafu Ngemela Lubinga wakati wa uzinduzi wa  jengo la  ofisi ya CCM mkoa wa Geita



15.02.2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Philip Japhet Mangula amezindua jengo la ofisi ya CCM Mkoani Geita ambalo ni limejengwa na  viongozi wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM pamoja na wadau mbalimbali Mkoani hapo.

Aidha, Ndugu Mangula akiwahutubia wana CCM hao...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) akutana na Makamu Mwenyekiti wa Rais wa China

2

Viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa  China Li Yuanchao (hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.

4

Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Philip Mangula akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa  China Li Yuanchao mara baada ya kumaliza mkutano.

6

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa  China Li Yuanchao akionyesha zawadi aliyopewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani