Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huyu ndio Mtanzania aliyeongoza orodha ya Models 10 bora wa Afrika wanaofanya Vizuri zaidi Duniani.







Herieth paul ndio mwanamitindo kutoka Tanzania aliyeongoza orodha ya Models 10 kutoka Afrika wanaofanya vizuri zaidi duniani, Herieth anakaa jijini New York,Marekani kwasasa.Hawa ndio ma Models wanaofatia kwenye orodha hiyo2.Maria Borges- Angola3. Betty Adowele - (Nigeria,Uingereza)4. Ajak Deng - (Sudan Kusini)5. Roberta Analciso - (Angola)6. Malaika Firth - (Kenya)7. Liya Kebede- (Ethiopia)8. Candice swanepoel - (South Afrika)9.Fatma Said - (Somalia)10.Anais Mali -(Chad)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Herieth Paul (Tanzania) aongoza orodha ya models 10 wa Afrika wanaofanya vizuri duniani

Mrembo wa Tanzania mwenye makazi yake jijini New York, Marekani, Herieth Paul ameongoza orodha ya models 10 kutoka Afrika wanaofanya vizuri zaidi kimataifa. Orodha hiyo imetolewa na mtandao wa Africa News. Mfahamu zaidi Herieth kwa kutazama mahojiano tuliyofanya naye mwishoni mwa mwaka jana. Warembo wengine waliopo kwenye orodha hiyo kuanzia namba mbili ni: 2.Maria Borges […]

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDIO MWANAFUNZI MZEE ZAIDI DUNIANI ANAYESOMA SHULE YA MSINGI, ANA MIAKA 90

Gogo akiwa darasani na wanafunzi wenziwe.
Akiwa na umri wa miaka 90 mwanamke wa Kenya ambaye anahudhuria masomo akiwa na wajukuu zake wapatao sita inaaminika ndiye mwanafunzi mzee zaidi anayesoma shule ya msingi duniani. 
Akiwa ameketi dawati la mbele kabisa darasani ,yuko darasa la tano na amevalia nguo za shule , Priscilla Gogo Sitienei anamsikiliza mwalimu anayefundisha kwa makini hukua akiandika majina ya wanyama kwa kiingereza kwenye daftari lake.Prissilla alijiunga na shule hii ya...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Models 10 wa video za muziki Tanzania waliofanya vizuri/wanaovutia zaidi 2014/2015

Kwa miaka mingi wanawake wamekuwa wakitumika zaidi kupendezesha video za muziki duniani. Kazi hiyo imewawezesha baadhi ya video queens kuwa mastaa kwa kazi hiyo tu. Hii ni orodha yetu ya warembo 10 waliofanya vizuri zaidi kwenye video za wasanii wa Tanzania kwa mwaka 2014/2015. 1. Maggie Vampire – Wanawake wa Dar – Wakazi Kwa wahudhuriaji […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Orodha ya wachezaji 10 wanaowania Tuzo ya mchezaji bora Afrika (wanaocheza Afrika)

Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo hiyo anayecheza katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samata

Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo hiyo anayecheza katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samata.

Siku moja baada ya Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) kutangaza majina ya wachezaji kumi watakaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika, hatimaye wametangaza majina ya wachezaji kumi (10) watakaowania tuzo ya mchezaji bora anayecheza Afrika.

Katika orodha hiyo kwa mara ya kwanza Tanzania tumefanikiwa kuingiza mchezaji mmoja, Mbwana Ally Samata anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,huyu ndio mwanamke mrembo duniani?

Nyota huyo wa filamu mwenye umri wa miaka 50 ametangazwa na gazeti la People magazine kama chaguo lake la mwaka 2015.

 

10 years ago

Africanjam.Com

ORODHA YA CLUB 50 ZENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI

 Klabu ya Manchester United ya nchini England imetangazwa kuwa klabu yenye thamani kuliko zote duniani kufuatia utafiti uliondeshwa katika kipindi cha miezi 12 iliyopita , utafiti uliohusisha klabu kubwa za soka duniani.

Thamani ya United imeongezeka maradufu kutokana na mikataba kadhaa ya udhamini na biashara ambayo imekuwa ikiingia kila mara chini ya uongozi wa Mkurugenzi wa klabu hiyo Ed Woodward.

        Chini ya uongozi wake thamani ya United imekuwa kubwa hali ambayo imefanya timu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ndege huyu alisafiri vipi umbali mrefu zaidi duniani?

Kwa kutumia mbinu ya kumuwekea setilaiti ndege, wanasayansi wamemfuatilia ndege ambaye amepaa zaidi ya maili 7,500 (sawa na kilomita 12,000) kutoka Afrika Kusini hadi katika eneo la kuzalia lililopo Mongolia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani