Herieth Paul (Tanzania) aongoza orodha ya models 10 wa Afrika wanaofanya vizuri duniani
Mrembo wa Tanzania mwenye makazi yake jijini New York, Marekani, Herieth Paul ameongoza orodha ya models 10 kutoka Afrika wanaofanya vizuri zaidi kimataifa. Orodha hiyo imetolewa na mtandao wa Africa News. Mfahamu zaidi Herieth kwa kutazama mahojiano tuliyofanya naye mwishoni mwa mwaka jana. Warembo wengine waliopo kwenye orodha hiyo kuanzia namba mbili ni: 2.Maria Borges […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo22 Jan
Huyu ndio Mtanzania aliyeongoza orodha ya Models 10 bora wa Afrika wanaofanya Vizuri zaidi Duniani.










9 years ago
Bongo529 Dec
Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram

Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.
Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.
Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.
Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.
1. Diamond...
10 years ago
Bongo510 Jan
Video: Models 10 wa video za muziki Tanzania waliofanya vizuri/wanaovutia zaidi 2014/2015
11 years ago
Bongo515 Aug
Exclusive Interview with Herieth Paul — New York based Tanzanian super model (Photos)
10 years ago
Vijimambo
MJUE SUPER MODEL HERIETH PAUL MTANZANIA ALIYEPATA MKTATABA NA SEPHORA COSMETICS & BEAUTY
Ninafurahi kukupa taarifa hii mahususi ya Binti MTANZANIA - HERIETH PAUL - SUPER MODEL anayeishi Canada na Marekani na kufanya kazi zake ‘around the Globe’.
Video mbili ni baadhi tu ya interview alizofanya leo 01/9/2015 - na CTV - Ottawa akizungumzia Mkataba wa kazi alioingia na KAMPUNI kubwa duniani ya vipodozi ‘Sephora Cosmetics & Beauty’ na video ya pili ni MORNING LIVE – Ottawa, ambayo anaelezea mafanikio yake kwa nia ya kuwahamsisha wasichana wa umri wake waweze KUJIAMINI na...
9 years ago
Bongo520 Nov
2015 Forbes Africa’s 50 Richest: Dangote aongoza Afrika, Dewji aongoza Tanzania akifatiwa na Rostam

Jarida la Forbes limetoa orodha yake ya Matajiri 50 wa Afrika ‘2015 Forbes Africa’s 50 Richest People’, ambapo mwekezaji mkubwa wa Nigeria, Aliko Dangote ameshika nafasi ya kwanza kwa utajiri wa Dola Billion 16.5.
Watanzania walioingia kwenye rodha hiyo ni Mohammed Dewji aliyeshika nafasi ya 21 kwa Afrika na namba moja kwa Tanzania, akifatiwa na Rostam Aziz aliyeshika namba 25 kwa Afrika na nafasi ya pili kwa Tanzania. Mwingine ni Said Salim Bakhresa aliyekamata nafasi ya 36 kwa Afrika na...
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Matajiri 435 wa Tanzania wajiunga katika orodha ya mamilionea duniani
10 years ago
Michuzi
TASWA KUTOA TUZO KWA RAIS KIKWETE PAMOJA NA WANAMICHEZO WANAOFANYA VIZURI

9 years ago
Press14 Nov
TAASISI ZA ELIMU ZAHIMIZWA KUWATHAMINI WAHITIMU WANAOFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAO.
Mwanafunzi wa mwaka 3 wa Chuo cha CBE Bw.Wilson Magembe anayesomea Utawala wa BIashara akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda la Maonesho la Utawala wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Prof.Emanuel Mjema (kulia)wakati wa hafla ya Utoaji wa Tuzo na Zawadi mbalimbali kwa wahitimu wa chuo hicho mwaka 2015.
Picha na 2. Bw. James Mkuwa – Muhadhiri Msaidizi Idara ya uongozi wa Biashara CBE akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali kuhusu elimu ya Biashara wanayoitoa...