2015 Forbes Africa’s 50 Richest: Dangote aongoza Afrika, Dewji aongoza Tanzania akifatiwa na Rostam
Jarida la Forbes limetoa orodha yake ya Matajiri 50 wa Afrika ‘2015 Forbes Africa’s 50 Richest People’, ambapo mwekezaji mkubwa wa Nigeria, Aliko Dangote ameshika nafasi ya kwanza kwa utajiri wa Dola Billion 16.5.
Watanzania walioingia kwenye rodha hiyo ni Mohammed Dewji aliyeshika nafasi ya 21 kwa Afrika na namba moja kwa Tanzania, akifatiwa na Rostam Aziz aliyeshika namba 25 kwa Afrika na nafasi ya pili kwa Tanzania. Mwingine ni Said Salim Bakhresa aliyekamata nafasi ya 36 kwa Afrika na...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Nov
Africa’s 50 Richest (Forbes): Dewji ni namba 21, aongoza Tanzania
![620x434](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/620x434-300x194.jpg)
Forbes wametoa orodha ya watu 50 matajiri zaidi barani Afrika.
Nafasi ya kwanza imeendelea kushikiliwa na bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote mwenye utajiri wa dola bilioni 16.7.
Mwenyekiti Mtendaji wa METL, Mohammed Dewji amekamata nafasi ya 21 kwenye orodha hiyo akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.1. Dewji anaendelea kuwa tajiri namba moja nchini Tanzania.
Rostam Aziz amekamata nafasi ya 25 kwa utajiri wa dola milioni 900 huku Said Salim Bakhresa akikamata nafasi ya 36 kwa kuwa na utajiri...
10 years ago
Bongo521 Nov
Africa’s 50 Richest (Forbes 2014): Rostam, Dewji, Bakhresa na Mengi waingia!
10 years ago
Bongo503 Mar
Forbes 2015: Dewji amtoa Rostam Aziz kwenye nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi Tanzania!
9 years ago
Bongo506 Nov
Katy Perry aongoza orodha ya ‘Forbes Highest Paid Women In Music 2015’
![Katy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Katy-300x194.jpg)
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wanawake wanaoongoza kwa kuingiza pesa nyingi zaidi kwenye muziki kwa mwaka 2015 (Forbes Highest Paid Women In Music 2015).
Katy Perry ndiye mwanamke anayeongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwenye muziki kwa mwaka huu, kwa mujibu wa orodha hiyo. Perry amekamata nafasi ya kwanza kwa kuingiza $135 million kwa kipindi cha mwka ammoja kuanzia June 1, 2014, hadi June 1, 2015.
Nafasi ya pili imeshikiliwa na Taylor Swift ambaye ameingiza $80...
9 years ago
Bongo523 Sep
Diddy aongoza ‘Forbes Hip-Hop Cash Kings 2015’, akifuatiwa na Jay Z na Drake (Orodha kamili)
10 years ago
Mwananchi04 Mar
FORBES: Dewji sasa bilionea kijana Afrika
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Dewji, Rostam waongoza kwa utajiri Tanzania
Mwandishi Wetu na Mashirika ya Habari
MFANYABIASHARA Mohammed Dewji pamoja na Mbunge wa zamani wa Igunga, Rostam Aziz, ndio matajiri zaidi Tanzania.
Kwa mujibu wa orodha mpya ya mabilionea ya mwaka 2015 iliyotolewa na mtandao wa Forbes, Dewji ameshika nafasi ya kwanza nchini akiwa mbele ya Rostam.
Awali nafasi ya kwanza kwa Tanzania ilikuwa ikishikiliwa na mfanyabiashara Rostam.
Dewji (39), mfanyabiashara ambaye pia ni mbunge wa Singida Mjini kupitia CCM, anatajwa na Forbes kuwa na utajiri...
10 years ago
Bongo505 Nov
Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya wanawake kwenye muziki walioingiza fedha nyingi zaidi 2014
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/OoZGPv5oPQ8/default.jpg)