Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJUE SUPER MODEL HERIETH PAUL MTANZANIA ALIYEPATA MKTATABA NA SEPHORA COSMETICS & BEAUTY


Ninafurahi kukupa taarifa hii mahususi ya Binti MTANZANIA - HERIETH PAUL - SUPER MODEL anayeishi Canada na Marekani na kufanya kazi zake ‘around the Globe’.

Video mbili ni baadhi tu ya interview alizofanya leo 01/9/2015 - na CTV - Ottawa akizungumzia Mkataba wa kazi alioingia na KAMPUNI kubwa duniani ya vipodozi ‘Sephora Cosmetics & Beauty’ na video ya pili ni MORNING LIVE – Ottawa, ambayo anaelezea mafanikio yake kwa nia ya kuwahamsisha wasichana wa umri wake waweze KUJIAMINI na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Exclusive Interview with Herieth Paul — New York based Tanzanian super model (Photos)

Elle Canada dared to use some strong words to introduce its new July (2011) cover star: “Naomi, Move Over!” The new girl on the block is Herieth Paul, who might look a bit like Ms. Campbell (she’s got those killer bangs) but has more often been compared to model Grace Jones or, as one photographer […]

 

10 years ago

GPL

MTANZANIA ALIYEPATA TUZO YA MALKIA ELIZABETH II ATOA TAMKO

Mshindi wa tuzo za The Queens Young Leaders upande wa mwanamke aliyetokea Mkoa wa Mwanza, Angela Benedicto ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika la Kwotesawa linalohusika na kutetea haki za watoto (kushoto) Mshindi wa tuzo hizo (anayezungumza), Given Edward pamoja na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Huduma za Teknolojia, Eng. Peter Phillip. Wanahabari wakichukua tukio. ...Angela… ...

 

10 years ago

Bongo5

Herieth Paul (Tanzania) aongoza orodha ya models 10 wa Afrika wanaofanya vizuri duniani

Mrembo wa Tanzania mwenye makazi yake jijini New York, Marekani, Herieth Paul ameongoza orodha ya models 10 kutoka Afrika wanaofanya vizuri zaidi kimataifa. Orodha hiyo imetolewa na mtandao wa Africa News. Mfahamu zaidi Herieth kwa kutazama mahojiano tuliyofanya naye mwishoni mwa mwaka jana. Warembo wengine waliopo kwenye orodha hiyo kuanzia namba mbili ni: 2.Maria Borges […]

 

11 years ago

TheCitizen

Harrieth a super model in the making

>Born and raised in Tanzania, Herieth Paul is one of the dark skinned models who are doing well in the fashion world today.

 

11 years ago

Michuzi

MJUE SuperModel wa Kibongo Harieth Paul





Mfahamu mwanamitindo maarafu wa kiwango cha kimataifa Herieth Paul, ambaye ni raia wa Tanzania aneyeishi nchini Canada.  
Mwanamitindo huyu mwenye umri wa miaka 18 anafanya shughuli zake jijini New York Marekani, London Uingereza na Milan Italia. 
 Amesaini mkataba wa vipodozi na kampuni maarufu duniani ya Calvin Klein na ametokea katika kurasa mbele za majarida mashuhuri mbalimbali kama Elle Magazine, Teen Vogue na VogueItalia.  
Hivi karibuni pia mrembo huyu amekuwa miongoni mwa ...

 

10 years ago

Michuzi

SUPER MODEL FLAVIANA MATATA'S SEND OFF PARTY NDANI YA SHINYANGA



CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imedhaminiwa  na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’Ni kwa neema tuuuuuu na rehemaaa, ni kwa neema tuu……ndo nyimbo ilikuwa inaunguruma kwa spikaaa na mabiharusi na mwenzie akawa wanaingia kwa kunesanesa. Kwa mapicha exclusive ya kumwaga toka 8020fashionblog.comBOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Mpigie kura Miss Kigamboni (2013) Magdalena Olotu kwenye shindano la “Next Africa Super Model Ultimate Search 2014″

MAGDALENA OLOTU

Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la kumtafuta Super Model  wa  Afrika shindano hilo linaitwa “Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014″ litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.

Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa Kulike na Kucomment kwenye picha yake iliyoko kwenye ukurasa wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

BM Hair & Beauty Clinic wazindua huduma mpya jijini Dar

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akikata utepe kuzindua huduma mpya za BM Hair and Beauty Clinic huku akisaidiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic, Benno Chelele leo jijini Dar es Salaam. Kwa sasa wamefikisha miaka 14 kwa kutoa huduma zenye ubora tokea imeanzishwa.


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akionyesha glasi juu yenye kinywaji pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic, Benno Chelele kuashiria kuzinduliwa kwa huduma mpya.

Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani