Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BM Hair & Beauty Clinic wazindua huduma mpya jijini Dar

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akikata utepe kuzindua huduma mpya za BM Hair and Beauty Clinic huku akisaidiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic, Benno Chelele leo jijini Dar es Salaam. Kwa sasa wamefikisha miaka 14 kwa kutoa huduma zenye ubora tokea imeanzishwa.


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akionyesha glasi juu yenye kinywaji pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic, Benno Chelele kuashiria kuzinduliwa kwa huduma mpya.

Mkuu wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

AIRTEL NA NMB WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu Waziri wa fedha na Uchumi Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya kifedha ya Airtel Money na Benki ya NMB katika hoteli ya  Selena jijini Dar es Salaam leo. Kaimu mtendaji  mkuu wa Benki ya NMB Tom Borghols akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya kifedha ya Airtel Money na Benki ya NMB katika hoteli ya  Selena jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi mtendaji wa  Airtel  Sunil Colaso akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya...

 

9 years ago

Michuzi

BANKI YA BARCLAYS WAZINDUA OFISI MPYA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.


Mwenyekiti wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ofisi mpya kwenye ghorofa ya pili ya jengo la benki hiyo lililopo jengo la Makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina akiwa na baadhi ya wadau wa benki hiyo wakati wa kuzindua ofisi ya benki hiyo ghorofa ya pili ya benki hiyo.
Mwenyekiti wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau  akifungua...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya fedha ya FAIDIKA wazindua huduma mpya ya ‘Faidika na Samsung Tabs’ kwa wateja wa Dar

DSC_2594

Ofisa Mtendaji mpya wa Faidika, Bw. Mbuso Dlamini wa pilikutoka kushoto akiwa sambamba na Meneja matekeleo wa taasisi hiyo, Haruna Feruzi wakiwa wameshika moja ya Samsung galaxy tab ambazo watakuwa wanakopesha wateja wao kuanzia sasa. Wanaofuatia ni Meneja wa kitengo cha Mauzo SME, kutoka kampuni ya AIRTEL, Bw. Killian Nango akishikilia bidhaa hizo pamoja na Meneja wa Samsung, Bw. Payton Kwembe. Wakionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam.  (Picha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya I&M yazindua huduma ya kwanza ya mfumo wa Kielektroniki ya masaa 24 jijini Dar

1

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha  (kushoto) akiongea na wadau wa benki hiyo hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa tawi  na mfumo mpya wa kielektroniki uliovumbuliwa na Smart Banking Solutions Ltd ambapo mteja anaweza kuweka na kutoa pesa  sambamba na kupata huduma nyingine za kibenki kama kubadilisha fedha za kigeni kwa kutumia mashine za kielektroniki masaa 24 ya siku.Hafla hiyo ilifanyika Viva Tower-Posta jijini Dar es Salaam, Kulia ni Meneja wa I&M wa tawi hilo Bi. Shabina...

 

10 years ago

Michuzi

FINCA WAZINDUA KAMPENI YAO MPYA YA FIKA NA FINCA JIJINI DAR LEO

 Mkuu wa Huduma za Kibenki wa FINCA,Bwa.Gershom Mpangala akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani),kuhusiana na taasisi hiyo ya Kifedha kuzindua kampeni yake mpya  iliyojulikana kwa jina la Fika na Finca,kampeni inayolenga kuwafikia Watanzania wote kupitia huduma za kibenki na kuwasaidia kutimiza malengo ya kimaendeleo waliyojiwekea,Mkutano huo umefanyika kwenye moja ya Ofisi zao zilizopo Mwembechai Jijini Dar.Pichani kati Kaimu Afisa Mwendeshaji Mkuu wa FINCA ...

 

10 years ago

Michuzi

Smile wazindua huduma mpya ya internet

Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Smile Communications,Linda Chiza (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua huduma mpya ya SmileOn itakayomuwezesha Mteja wa Smile kutumia huduma ya Internet hapa kama kifurushi chake kikekwisha.kushoto ni Afisa Mkuu wa Utendaji na Miradi,Athuman Ibrahim Nzowa na kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja,Gabriel Ndobho.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA I&M YAZINDUA HUDUMA YA KWANZA YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI YA MASAA 24 KATIKA JENGO LA VIVA TOWERS, JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa VIVA Tower Viral Manek, akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya I&M katika jengo hilo litakalotoa huduma masaa 24, kwa kuweka na kutoa fedha na kubadilisha fedha za kigeni kwa kutumia mfumo mpya wa mashine za kieletroniki (ATMs). Kushoto ni mkurugenzi mkuu wa benki hiyo, Bw. Anurag Doreha, Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha (katikati) akifafanua jambo baada ya uzinduzi wa tawi jipya la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani