BANKI YA BARCLAYS WAZINDUA OFISI MPYA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Mwenyekiti wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ofisi mpya kwenye ghorofa ya pili ya jengo la benki hiyo lililopo jengo la Makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina akiwa na baadhi ya wadau wa benki hiyo wakati wa kuzindua ofisi ya benki hiyo ghorofa ya pili ya benki hiyo.Mwenyekiti wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau akifungua...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA REACH FOR CHANGE WAZINDUA SHINDANO LA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziBANKI YA DCB YA SHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA LEO JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Siku ya Posta Duniani kuadhimishwa leo katika ofisi TCRA jijini Dar es Salaam
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Joseph Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta duniani, inayoadhimishwa, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini, kabla ya kumkaribisha Meneja Masoko wa shirika hilo, David George (kulia) kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu maadhimisho ya siku hiyo, leo jijini Dar.
Meneja Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), David George, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es...
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Siku ya Posta Duniani kuadhimishwa leo katika ofisi za TCRA jijini Dar es Salaam
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Joseph Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta duniani, inayoadhimishwa, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini, kabla ya kumkaribisha Meneja Masoko wa shirika hilo, David George (kulia) kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu maadhimisho ya siku hiyo, leo jijini Dar.
Meneja Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), David George, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, AMOSI MAKALLA APITA OFISI ZA MICHUZI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO, HUAWEI WAZINDUA SIMU YA WATU WA HALI YA CHINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
Michuzi
FINCA WAZINDUA KAMPENI YAO MPYA YA FIKA NA FINCA JIJINI DAR LEO

10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI STUDIO MPYA ZA AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO