BANKI YA DCB YA SHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA LEO JIJINI DAR
Meneja Mwandamizi wa Biashara Ndogo na Kubwa wa Benki ya DCB, Haika Machaku akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kuwapatia shuhulisho la masuala ya kifedha wateja na kuongeza kasi ya ukuaji wa biashara zao ameyasema hayo leo katika hafla ya kusherekea wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Mwandamizi wa Technolojia ya Habari na mawasiliano Mohamed Mtulia
.Meneja Masoko wa Benki ya DCB,Boyd Mwaisame akisisitiza jambo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSTAR TIMES WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja
![IMG_5004](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5004.jpg)
![IMG_4911](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_4911.jpg)
![IMG_5035](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5035.jpg)
![picha 02](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/picha-02.png)
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
Maadhimisho ya wiki huduma kwa wateja wa Tigo yaendelea leo
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akiwakabidhi fulana wateja wa tigo kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Dula la Tigo Nkurumah.
Mteja wa Tigo Zenah Hamdi mkazi wa Tandika, akipata huduma toka kwa Mtoa huduma wa Kampuni ya Tigo.
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akimkabidhi fulana mteja wa Tigo Nickson Mbwambo mkazi wa Mabibo, kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Duka la Tigo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ciAqQ6as-gU/VDKRTv8bnbI/AAAAAAAGoT4/4JsfcNG5ZBE/s72-c/pic%2B7.jpg)
AIRTEL YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA STAILI LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ciAqQ6as-gU/VDKRTv8bnbI/AAAAAAAGoT4/4JsfcNG5ZBE/s1600/pic%2B7.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-dYCXPbeOV0s/VDKRYU_la7I/AAAAAAAGoUg/Iwew-LcUoV0/s1600/pic4.jpg)
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
TTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote
![](http://1.bp.blogspot.com/-dlrEaJEiGjs/VhuTRuXF7AI/AAAAAAAAEx4/Xj0wS4Xecqc/s640/IMG_0167.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bHxVCTgy67o/VhuTQUJueRI/AAAAAAAAExk/9kWiFZBnIRc/s640/IMG_0153.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xCPTueSeZiE/VnKqARBLlRI/AAAAAAAINGg/vkcPj_m5QJE/s72-c/IMG_8448.jpg)
BANKI YA BARCLAYS WAZINDUA OFISI MPYA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-xCPTueSeZiE/VnKqARBLlRI/AAAAAAAINGg/vkcPj_m5QJE/s640/IMG_8448.jpg)
Mwenyekiti wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ofisi mpya kwenye ghorofa ya pili ya jengo la benki hiyo lililopo jengo la Makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina akiwa na baadhi ya wadau wa benki hiyo wakati wa kuzindua ofisi ya benki hiyo ghorofa ya pili ya benki hiyo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-guQKpbWRYDU/VnKqAtF3hvI/AAAAAAAINGc/1gFxTHPdTVg/s640/IMG_8462.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Airtel yazindua wiki ya huduma kwa wateja
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imejipanga kikamilifu kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzitambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na kuthamini umuhimu wa wateja. Airtel,...
10 years ago
MichuziAirtel yahitimisha wiki ya huduma kwa wateja
Airtel imetembelea wateja wake katika maeneo mbalimbali ikiwa pamoja na Tandika, magomeni, Temeke , sinza, Mbagala, illala , kinondoni na katika maeneo yenye watu wengi na kuongea nao kwa nyakati tofauti lengo likiwa ni kupata maoni juu ya huduma na pia kuwaelimisha kuhusu...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
BENKI ya CRDB inaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kusikiliza matatizo yanayowakabili wateja wa benki hiyo. Akizungumza jana alipotembelea matawi ya Holland, Premier na PPF jijini Dar es Salaam,...